NAPENDEKEZA: Sherehe za UHURU ziwe 25/10

Kanina

JF-Expert Member
May 26, 2013
277
80
Ndugu zangu watanzania,
Naomba nipendekeze kwamba, baada ya Uchaguzi wa 25/10/2015, na ccm kung'olewa madarakani, maanzimisho ya sherehe za UHURU wa Tanzania ziwe zinafanyika tarehe 25/10 kila mwaka, kuweka historia njema kwa Taifa jipya lenye mustakabali chanya.
Nawakilisha...!
 
Back
Top Bottom