Wadau wa michezo humu ndani, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ninaomba msaada wa kitabu cha sheria za mpira wa miguu, na pia kama kuna mwenye kitabu cha mazoezi ya viungo kwa mpira wa miguu naomba tafadhali.
Natanguliza shukrani zangu.
Uchangiaji wako, unathibitisha uwezo wako mdogo wa kufikiri, kwa kawaida hoja inapingwa na hoja yenzie na si kama ulivofanya ww, hatupo kwenye uwanja wa mapambano bali tupo kwa ajili ya kushirikishana mambo mbalimbali, yamkin kama huna cha kuchangia ni vema ukabaki kimya kuliko kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.