Recent content by Kangozi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wawili wakubaliana kuoa mwanamke mmoja

    Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, shangaa ya Kenya ambako hawajawa na ndoa Bongo wanaume wawili wanashare mwanamke mmoja kwa ndoa halali za kiserilaki, upo hapo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kenya wamelaaniwa?

    Sio wa Kenya tu, hukusikia habari ya usukumani Mwanza ambako bwana mmoja alikutwa akimwingilia mbuzi akaozeshwa "mee" huyo. na wanaume watatu hapa Bongo wanao share mwanamke mmoja, wawili (A na Am) wakiwa na ndoa nae na wa tatu ni nyemelezi? Dunia ya kisasa hii !!!! Cheza weye
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa na wanaume wawili, sheria yasemaje?

    Lakini, lipo Daniela. na huko aliko anabwana mwingine tena anamgegeda
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bora ukosee kujenga nyumba kuliko ukosee kuoa/kuolewa

    Lakini watu wachapana tu, tena kwa sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa na wanaume wawili, sheria yasemaje?

    Mbona?, ukimwi ati utaisha hapa na mtandao kama huu?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa na wanaume wawili, sheria yasemaje?

    Mzuka mzuka, Nani kati yao hapo ana akili za kwendea choo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sheria Inasemaje

    A alifunga ndoa na Am, baada ya miaka mitatu wakafarakana na A kukimbilia kwao Tanga ambako alikutana na mpenzi wake wa zamani Ab wakafunga ndoa bila ya kuvunja ndoa na Am. Am anajua kuwa baada ya A kutoka kwake, A alienda olewa na Ab, na kwa kipindi chote hicho alikaa kimya bila kuchukua hatua...
  8. K

Back
Top Bottom