Mimi ni KE,umri wangu ni miaka 21,ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu ila sijajiunga na chuo kwa sababu za kukosa mkopo.
Natafuta ajira yoyote ile itakayoniongezea kipato. Nina uwezo mzuri sana hasa katika masomo ya Kemia na Hisabati kwa A'level na O'level pia niko vizuri katika IT pia.
wewe ulikua hauna haja ya kupeleka barua,,barua yako ilishapelekwa TCU na chuo chenyewe na ukafutwa kwenye system na wao wenyewe,,ndo maana ukaweza ku-apply!
kwa upande wangu niliongea na kiongozi wa DARUSO UDSM akasaidia kuwaambia uongozi wa chuo waweze kuzitoa barua mapema!jana ijumaa zilitoka na niliweza kupeleka TCU.Natumaini mambo yatakuwa vyema!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.