Unaelewa kweli maana ya kazi yoyote? Futa kauli yako.
something is better than nothing
Unaelewa kweli maana ya kazi yoyote? Futa kauli yako.
Pole ila pia wengine wamekudharau humu sababu umejiachia sana hata kama una shida ya kazi jaribu mambo mengine kutoyaweka hadharani,na usiruhusu sababu ya shida yako mtu akatake advantage kwako heshima yako iweke mbele.hilo swala la kutoa namba ya simu ilitakiwa uliweke mwisho baada ya kupata mwenye nia ya kweli kukusaidia.Tuheshimiane tafadhali
Mimi ni KE,umri wangu ni miaka 21,ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu ila sijajiunga na chuo kwa sababu za kukosa mkopo.
Natafuta ajira yoyote ile itakayoniongezea kipato. Nina uwezo mzuri sana hasa katika masomo ya Kemia na Hisabati kwa A'level na O'level pia niko vizuri katika IT pia.
Wana Jf si vema sana kuweka no za simu, haraka haraka ktk public, wengine humu ni manyoka!
Dada endelea kutafuta kazi sehemu mbalimbali, hasa kwenda physically!
Nahitaji house girl upo tayari,kula kulala hapohapo