Recent content by kangalawe

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Eeeeehhhhhh......!!!!!!! Napita mimi naelekea tukuyuuuuuuu......!!!!!!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Imeshapoteza Majimbo ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    Mbona shemeji naye anapenda dada zetu balaa husemi....!!!!! Kaoa kila kona sasa husemi...!!!! Slaa kamwanamke kamoja unaongeeeeaaaaa.....!!!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limfukuze kazi askari huyu mara moja!

    Kwani jeshi maana yake ni kuloa...!!!! Pale wanajeshi, polisi, madaktari, usalama wa taifa na wengine unaowafahamu waliovushwa ni wengi mno. Sema yeye kavaa sare. Lakini yeye kuwa polisi hakumuondolei ile hali ya kuogopa mvua. Amefundishwa kulinda raia na mali zetu na hakufundishwa kuloa mvua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania MUGABE: AFRICAN HERO?

    Yes jembe Mugabe baba. Keep on...!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Mmmmmmhhhhhh.....!!!!!!!! Leo anamkumbuka Baba wa Taifa kweli...!!!! Katika miaka yote hii kumi amemuenzi vipi Baba wa Taifa. Hizo safari zake si azimalizie kwanza maana hatosafiri tena kuanzia mwezi wa kumi mwaka huu.....!!!!!! Sijui atakaa kule chalinze mzee kwenye lile kasri alilolijenga kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

    Nashukuru yamekuingia maana ya kale hayanuki...!!! Usirudie tena Mkuu...!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

    Wewe una hamu na matusi jumapili ya leo na utayapata tu. We unadhani kuna mtu mzinzi kama huyo kiongozi wako...!!! Yule mzee jela maisha kisa mwanamke...!!!! Wake za watu wangapi anawapiga pumbu...!!!! Huyo mke wa mtu anayeishi na Slaa kwani ni chizi na hajui kwamba ana mumewe original. Si aende...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

    Pumbavu sana wewe...!!! Unamtukana amekukosea nini...!!!! Kwani uarabuni hawapigani...!!!!??? Au hiyo vita imeanzia kimbari tu...!!! Jinga wewe. Marufuku kumtukana mtumishi wa Mungu. Ukome...!!! Nchi ngapi za kiislamu zinaongoza kwa mauaji wa kinyama...!!!! Hebu ongea ukweli wako au huko kuna...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

    Kwani Yesu hakuwakemea wanasiasa kwa matendo mabaya...!!!??? Hebu soma tena hiyo Biblia vizuri mkuu....!!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

    Kwani Yesu hakuhubiri siasa...!!!! Ama Yesu hakuwashambulia wanasiasa...!!!!?? Pumbavu...!!!! Maandiko hujui kazi kuongea ongea tu. Kaa kimya kama huna neno Mkuu...!!!! Unasababisha jumapili ya leo iende vibaya sana kwangu....!!!!! Sima neno la Mungu vizuri...!!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ yaapa kupambana na majambazi wanaopora silaha za askari

    Sina hakika na hilo kama wataweza. Siku hizi hawana tena ule ujasiri wa Mwalimu....!!!!
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali! wife kanipongeza kwa kuchepuka

    Aisee umenitoa udenda sana kusoma kumbe ujinga mtupu. Hata hivyo nashukuru kwa kuniondolea stress week end. JF hoyeeeeeeeeee......!!!!!!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

    Astaka...!!!! Unajua wewe jamaa kuanzia sasa kichwa chako halali yangu. Na lazima kinipeleke peponi tu...!!!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

    Unaungana naye...!!! Sawa bana. Jua tu nikiondoka na kichwa chako ni baraka kwangu...!!!!! Allah....!!!!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya Maandamano makubwa ya kihistoria Songea kesho

    Na hiyo id yake kazi kubwa Job 'K' kazi ipo....!!!!!
Back
Top Bottom