Habari Wakuu, Bila shaka Mungu ametupa uzima hivyo hatuna budi kumshukuru..!
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu...... Naomba wajuvi, wenyeji na hata wafanya biashara wazoefu mnisaidie mawazo mbali mbali ya kibiashara ambayo ninaweza kuifanya katika wilaya ya Tunduru...
Kiwanja changu ni cha kati kati, Leo naenda kusogeza mpaka kama mita 4, ni njia imeachwa loose maana wenye viwanja vya juu wameifunga njia,...sijui itakuwaje huko mbeleni..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.