Recent content by Kandindi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aendelea Kuitesa CHADEMA Kalenga,Avuna Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Nzi na Viongozi wengine

    Wee malaya tu,mm ni mwenyeji wa kalenga hakuna kata inanyo itwa nzi.wala kijiji kinacho itwa nzi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kanda ya Kusini ni mzigo kwa chama

    Viongozi wa CHADEMA kanda ya kusini yenye mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma wanashutumiwa na wananchi kwa kutokuwajibika ipasavyo. Wananchi wanalaumu kwa viongozi hao kushindwa kufanya mkutano hata mmoja tokea wachaguliwe,mnamo mweziwa6.Mbaya zaidi kuna tuhuma nzito kuhusu katibu wa kanda ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kubadilisha Uongozi wa juu wa chama cha CHADEMA?.

    Viongozi wa chadema kanda ya kusini,lindi mtwara na ruvuma ni mzigo kwa chama,wananchi wa mikoa hiyo wanalalamika koka wachaguliwe mwezi wa6 hawajawahi kufanya mikutono yoyote yachama ktk mikoahyo nakusema kunaumhimugani wa waokuwepo? Hivimajuzi katibu wa chadema kanda ya kusini kasimamishwakz...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

    Ilikuwa bendiyao ya toti na wametangaza toka kunakucha huwez amini watanize2 wametia aibu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

    nduguyangu maccm mafinga mjini hawana chao mtajiwao ni vijijini chadema vijijin bado 2nakz.
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

    wateja wao wa vijijini wamegoma wamewambia wapande dau maccm yamegoma.
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

    kaka subili wakuowe kwa buku7
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

    akili ndogo
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM yatia aibu Mafinga, mkutano wao wadoda

    Chama cha Mapinduzi leo hii kimepata aibu ya mwaka baada ya mkutano wao kukosa watu kabisa! Na walipoona hali mbaya kwa kukwepa aibu katibu wa CCM wilaya ya Mufindi bwana Jakobu mkomola,alikwenda shule ya msingi Mkombwe na kumwomba mwalimu mkuu kumpa watoto wa darasa la4 ili kuepusha aibu ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwangosi day: CHADEMA kufunika Mafinga

    kwamujibu wa kibari chapolisi mkutano utakuwa saa8 mchana.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwangosi day: CHADEMA kufunika Mafinga

    nduguyangu viongozi wote wamesha wasil jioni hii.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwangosi day: CHADEMA kufunika Mafinga

    kwamujibu wa kibari chapolisi mkutano utakuwa saa8 mchana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwangosi day: CHADEMA kufunika Mafinga

    Nikwel kabisa ktk mkoa mzima wa iringa ngome kuu ya magamba ni mafinga hapa chadema inabidi 2fanye kz ya ziada.maana katibu wa ccm wilaya bwana jacobu mkomola amesema kama chadema watashinda udiwani kata yoyote mwilaya ya mufindi yeye anakunywa sumu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwangosi day: CHADEMA kufunika Mafinga

    Chama cha demoklasia CHADEMA kesho kitafanya mkutano mkubwa sana ktk kijiji cha Nyololo kilichopo kilomita 20 kutoka Mafinga mjini. Wageni watakao kuwepo ni mh. Kigaila na dr. Slaa. Nitawapa live updates kutoka Nyololo na picha za matukio.
Back
Top Bottom