SIfa, majivuno, na majigambo yasiyo na mbele wala nyuma.Bila ccm kumpa NAPE nafasi ya uongozi na ushirikiano na wanachama wengine angeweza kufanya kazi?!!!.Chama kimetoa viongozi mahiri kama mwalim nyerere,docta salim,na wengine wengi inamaana kilikuwa shimoni!?.....hekima ni kitu chema.Lazima...
Kwa hiyo nyinyi wabunge mnataka kuijadili usalama wa taifa!!!.kwamba iyo tume pamoja na mambo mengine inapendekeza usalama wa taifa "kuiondoa idara ya utesaji" nk.
Nduga yangu zito Haupo sawa.KWANZA KABISA UWEZI UKAIJADILI IDALA YA USALAMA! ILI IWEJE SASA!
ITA ACHAJE KUTESA!! KWANI UMEAMBIWA...
Nakubaliana na wew bro.Alichofanya ni kizuli.Magufuli sasa atumie chance hii kupitia upya hata kama ni baadhi ya mikataba, na kubadilisha(kwa makubaliano) kwa our advantage zaidi.Lakini pamoja na yote, diplomacy inatakiwa iwe ya kiwango cha juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.