Recent content by kande mbichi

  1. K

    Njoo kesho kwenye interview: Kauli inayokwamisha wengi

    kwa uzoefu wangu mdogo wa masuala ya ajira ... kapuni nyingi au taasisi zinazoheshimika ... haziwezi kukupa 24 hours ujiandae kwa usaili.. ukiona hivyo ujue hizo ni kampuni au vitaasisi vidogo dogo vya uchochoroni.............
  2. K

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    i) utakapotolewa manundu utamsumbua mkeo na familia yako hutamuona mwana jf yoyote humu kuja kukujulia hali ii)hela ambazo ndugu zako watakuja kukuwekea dhamana bora waongeze kwenye tubiashara twao maisha yaendelee iii) Utakapokuwa unasota rumande huku mtaani maisha yataendelea kama...
  3. K

    Lowassa: UKUTA sio fujo wala machafuko. Polisi ni ndugu zetu hawana haja ya kutupiga

    Watu wengine humu mnachochea watu na vi ID vyenu fake, at the end of the day mtakuwa mmelala nyumbani na wake zenu sept 1. its better kila mtu atafakari kwa makini yeye mwenyewe but asishiriki maandamano kwa influence za watu humu ndani........kwani utakapokuwa unauguza majeraha...
  4. K

    Ni kupiga chini michepuko hakuna namna

    tumia hiyo michepuko wewe........ wife only is some how tiresome
Back
Top Bottom