Recent content by kandamatope

  1. kandamatope

    Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Wapo watu wengi sana,, Wanaangaika na vidonga vya Tumbo Lakini kwa utafiti wangu ,, hata wewe hauna shida ya vidonda vya Tumbo Nenda ukadili na gesi tumboni.... hiyo inayo kusumbua wewe ni gesi
  2. kandamatope

    Kitendo cha Steve Nyerere na Mwijaku kugombea Uspika wa bunge la JMT kunadhihirisha thamani ya bunge letu

    Kifupi bunge limepoteza hadhi yake ya kuitwa bunge na muhimili Sasa bunge limekuwa kama studio za radio clouds fm Bunge ni lepesi mno limejaa vihiyo wa kuitikia ndio na kugonga meza kisha unapanda v8 unarudi hoteli kwenda kula bata heshima ya bunge imepotea kabisa...
  3. kandamatope

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Leo nalala giza kwa Mara ya kwanza tangia niamie kwangu zaidi ya miaka mitano imepita Naitwa said Nipo bunju A usalama karibu na kanisa la efatha Wilaya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam TATITO LANGU Umeme umeisha Nimenunua token vizuri sana Rimoti na mita wamepoteza mawasiliano Rimoti aiwaki ile...
  4. kandamatope

    Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Hata makuli bandarini wanatukana, Wabeba zege wanatukana Hata sisi mafundi garage mizuka kama yote Kazi karibu zote za wagumu mitusi wala sio jambo la mjadala Ila sijawahi kuona matozii (watoto wa mama, Wakipiga kazi na mizuka Wao kazi yao ni kubana pua tu. ... Sent from my SM-E625F using...
  5. kandamatope

    Rais mlalamikaji: Je, ni udhaifu?

    Ukisema awamu ya tano Yeye unamtoaje hapo Waziri mkuu unamtoaje hapo Waziri mpango ,ambae kwa sasa ni makamo wa rais unamtoaje hapo Ni ikithibitishwa ya kuwa huo ufisadi ulianzia awamu wa tano serikali nzima inatakiwa ijiudhuru kwa sababu ni sehemu ya hiyo serikali iliyopita ....tafakuri kwanza...
  6. kandamatope

    Rais mlalamikaji: Je, ni udhaifu?

    Yule baba wa taifa aliyebakia ni dhaifu mama awezi kuwa jasiri Sent from my SM-E625F using JamiiForums mobile app
  7. kandamatope

    Rais mlalamikaji: Je, ni udhaifu?

    Ukiona mama jasiri basi tambua kuna baba hasiri nyuma yake
  8. kandamatope

    Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    Unataka mvuto katika nyumba ya ibada? Unamaanisha waimbaji wa kwaya wavae vimini kama bar!! Au ukiingia tu kanisani upewe balimi baridi? Sent from my SM-E625F using JamiiForums mobile app
  9. kandamatope

    Naomba kujua njia za asili za kupunguza gesi tumboni

    Njia ya kienyeji ni kifuu cha nazi Sent from my SM-E625F using JamiiForums mobile app
  10. kandamatope

    Msaada nikipigiwa simu sipatikani

    Ukiona unapata tatizo kama ili ukiwa na sim card ya tigo Tambua kwamba Unanunua muda wa maongezi online kupitia tigo pesa nk Wenyewe tigo wanataka kila baada ya 1 mmoja angalau uwe unaweka kifurushi kwa njia ya kufuta vile vikaratasi vya kuchuna hata ukinunua muda wa maongezi wa 500 sim...
  11. kandamatope

    Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Kama polisi wanapewa laki 3 kama posho Basi na wafanyakazi wa Tanesco wapewe pesa za posho lakini umeme walipe Kupeana motisha vitu vya umma ni kulitia Taifa hasara....
  12. kandamatope

    Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaahirishwa. Kuendelea Jumatatu ya tarehe 27/09/2021

    Nchi hii kweli inamaajabu yake Kama comandoo akageuka bausa wa kulinda hadi walevi Ipo siku makomandoo wa kibongo watawalinda mpaka wakina ambar. Ruti,harmorapa,twaha kiduku,dula mbabe,wema sepetu...nk Au huyu comandioo atakuwa comandoo mzee mstaafu.. Eheee comando,eehh comandoo., Comandoo...
  13. kandamatope

    Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Tume huru ndiyo inapiga kura,,,
Back
Top Bottom