Recent content by Kandahar Tz

  1. Kandahar Tz

    Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Kwa Kila muajiriwa
  2. Kandahar Tz

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    TBL njaa Kali Sasa hv, TBL ilikua zamani.
  3. Kandahar Tz

    Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Posho ni 300,000 sio 30,000.
  4. Kandahar Tz

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Wameula wapi mjomba, kwa check number hapo sawa Ila kuhusu Mambo ya mpunga ni chenga Sana.
  5. Kandahar Tz

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Bado siku chache kutimiza mwaka kwa waliopata hizi ajira tunaomba mrejesho tafadhali
  6. Kandahar Tz

    Nahitaji kubadilisha fani ya uwalimu

    Mfano mm nimeajiriwa kwenye halmashauri x kwa level ya diploma lakini diploma yenyewe haiendani hata na kazi ninayoifanya kwa sasa Bado cjasibitishwa kazini ila Nina degree pia ya fani hiyohiyo je mnanishaurije nirudi nipambane na ajira portal kwa level ya degree au nitafute taasisi ya kuhamia...
  7. Kandahar Tz

    Nataka kwenda Botswana ila sina mwenyeji wa kunisaidia kuvuka boda nifanyeje?

    We have good conversation but unfortunately he is just like me we know nothing like me.
  8. Kandahar Tz

    Nataka kwenda Botswana ila sina mwenyeji wa kunisaidia kuvuka boda nifanyeje?

    Almost accordind to tanzanian life style they pay me good salary ila ikitokea kulala kwenye mitaro its okey.
  9. Kandahar Tz

    Nataka kwenda Botswana ila sina mwenyeji wa kunisaidia kuvuka boda nifanyeje?

    Ni muda mrefu nimekua nahitaji kwenda Botswana au Namibia nikatafute maisha, ila kikwazo nackia jamaa wanataka uwe na mtu ambaye utafikia kwake. Sasa nitafanyaje ili nifike gaborone? Nilipomaliza diploma ya electrical engineering nilipata kazi, nikafanya ndani ya mwaka mmoja nikaacha nikarudi...
  10. Kandahar Tz

    Naomba kujuzwa kuhusu upatikani wa ajira katika nchi za Botswana na Namibia

    Nina Umri wa miaka 27 nina diploma ya Electrical Engineering na sasa hvi nipo mwaka wa mwisho nasoma degree ya Electrical Engineering. Kwa kifupi hapa bongo mfumo wa ajira za uhakika with high paying scale ni ngumu sana kuzipata. Nimesikia nchi hizi mbili za Botswana, Namibia na Angola bado wana...
  11. Kandahar Tz

    Naomba updates za Interview ya TANESCO

    Utakua electronic and telecom eng from DIT au electronic and communication eng from SJUIT
Back
Top Bottom