Recent content by kancarl

  1. kancarl

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Mtu kapewa uwezo bado anajiuma uma kutaja chadema
  2. kancarl

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

    Makumbusho kwan urais unaishia kwake ?
  3. kancarl

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Chavayo hajafa Ila kati ya yulle kule au huu wetu kuna mtu kapigwa ela ya maana Nahs n wakwetu
  4. kancarl

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Waliotunza pesa kupitia yy wote tumbo joto
  5. kancarl

    JamiiForums Tanzania TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

    Kumbe tuna watoto huu Mkumbushen kuwa E mbili hazikuwa poa kipnd kile
  6. kancarl

    JamiiForums Tanzania Sioni uwezekano wa watu kuandamana tarehe 29 October

    Na ww unalipwa kwa kuandika ivo tu ???? Tuna safar ndefu kama taifa Linda mgongo kwa wivu mwingi
  7. kancarl

    JamiiForums Tanzania Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Mdomo uliponza kichwa
  8. kancarl

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Kamati Kuu ilimuita Nchimbi lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, tukamfukuza

    Leo kawaida anamvimbiaa nchimbi Vijana tumekuwa wa hovyo sana
  9. kancarl

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Rais anateuliwa na kikundi kidogo cha watu Tutaona meng
  10. kancarl

    JamiiForums Tanzania Wauza magari wa bongo, wengi hawapaswi kuwa car dealers hawayajui magari kabisa

    Tatzo kuu la madalali elimu hamna Uchawi tu ndo mwing Ukishavmskliza tu umeisha Wanaroga sana madalali
  11. kancarl

    JamiiForums Tanzania Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

    Kwan mtu wa chanika zaman alifikaje mbezi ?
  12. kancarl

    JamiiForums Tanzania Msikilizeni huyu mzee wa CUF naye kavurugwa, hata hajui anasema nini

    mwenye baba yake amzimiee kamera anaongea pumba af nahis kaishia la nne
  13. kancarl

    JamiiForums Tanzania Kama Ayatolla Mojtaba hakujitokeza Msibani mlitegemea watu wajitokeze wakutane na Machine?

    Unapambana Sana bro tatzo hujui namna ya kumalzia Chungu chenu alitoka nanauka tu mliobak gudubai
Back
Top Bottom