Msimlaumu makonda,hivi kwa akili zenu mnadhani mambo yote haya anayafanya kwa kofia ya u RC tu? Hapana ana baraka zote kutoka juu,kumbukeni mwanzoni kabisa wa baraza la mawaziri awamu ya kwanza walitajwa hadharani nakuambiwa kuwa wasirudisha form zao za work ethics & mali walizonazo ndani ya...
Humu jf tuna watu wengi wenye uelewa mdogo,hiyo barua imewekwa ili muisome jinsi taratibu ya za bunge zinavyotakiwa kufuata kama i avyojieleza kilichofanyika 2011- Hey wake up People
Alikaguliwa kwanza hakuenda hivihivi ,sijaona hatari yoyote unayozungumzia,jaribu kuangalia maraisi wa nchi zilizo endelea wanapokuwa kwy mikutano kama hii,hili ni jambo la kawaida kabisa,acheni huo ukiritimba wa mawazo
Majibu ya Magufuli ni ya kihuni ,elewa kiwa Lwakatare alikuwa anaomba msaada wa dharura (temporary relief) ,swala kiwanda hiyo ni habari nyingine tofauti kabisa,hata kama muwekezaji atapatikana leo itachukua miaka mwili mpaka mitatu kiwanda kuwa kwy full swing.Ningependa kumshauri Magu ajifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.