Recent content by kanana23

  1. K

    JamiiForums Tanzania Video camera Sony ,Nikon D3200 for sale and Acer notebook

    Natafuta lens za canon
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa,wapi naweza pata ingines za bajaji complete(kamilifu)

    Nauza bajaj four strock Imetumika mwaka mmoja Iko vizuri bado Bei 3m 0712453940 kwa mawasiliano
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza galaxy j1 nitafute 0712453940
  4. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Too bad hawajaachana tunaishi nyumba moja no communication ..na mama yangu anaendelea kuishi akiamini kuna siku mmbo yatakaa vizuri huku akituhimiza kusoma na kumjua mungu vilivyo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Hongera sana nitajitahidi nami niwe kama wewe mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Urembo: fashion kwa wadada wanaopenda kupendeza

    Yes mkuu kuna tatizo kwan:confused:
  7. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Pole mwaya
  8. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Kwa hiyo unahisi mama yangu ndo mwenye dhambi vipi kuhusu baba alieamua kuzaa watoto ambao alijua kesho hataweza kuwatunza...asante lakini kwa mawazo yako
  9. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Asante ndugu ubarikiwe.. Yeah namuomba mungu anijaalie niwe mama bora
  10. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Asante mkuu kwa ushauri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Sawa baba mungu akubariki hopefully wewe ni malaika
  12. K

    JamiiForums Tanzania Urembo: fashion kwa wadada wanaopenda kupendeza

    Pata cheni ya mkeka kwa bei rahisi shilling elfu 35 tu.cheni hizi ndo habari ya mjini necklace, bracelet na heren kwa ajili ya event ,ofisin nk.nicheki kwa namba 0767626990 SMS or call. Free delivery kwa wakazi wa dar na mikoa mingine tunatuma karibuni.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Ameen mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    Asante
  15. K

    JamiiForums Tanzania Familia zingine kama zimelaaniwa jamani

    St johns, st Joseph na vingine
Back
Top Bottom