Unazingua sasa, piga hela mwenyewe mzee mbona unatumia nguvu kubwa hivyo!? Tangaza platform yako kistaarabu, ukipost mara moja au mbili inatosha. Hiki unachofanya ni USHAMBA, badala ya kuvutia watu ndo unaharibu kabisa maana unaonekana HUJITAMBUI.
Siku pingi, CCM imeivuruga hii nchi ila pia jamii yetu ina upumbavu mwingi. Vijana wenye nguvu wanashinda vijiweni wakijadili mambo ya kipuuzi badala ya kuzalisha! Angalau vijana wanaojitafuta kwenye betting naweza kuwaelewa kidogo kuliko wapuuzi wanaoshinda vijiweni bila issue yoyote wakisukuma...
Sahihi kabisa, watu wanajifyatulia tu watoto wasio na uwezo wa kuwahudumia! Tunaishi kama watu tusiostaarabika! Ongezeko la watoto wa mitaani ni kiashiria tosha cha janga linalotukabili la uzazi holela.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.