Recent content by Kanali mwime

  1. Kanali mwime

    Kuhamia south africa

    Usije kwa sasa tafta $1500 nitafte nikupe mwongozo
  2. Kanali mwime

    Kuhamia south africa

    Usije kwa sasa tafta pesa ukaishi dar huku tuachie sisi
  3. Kanali mwime

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Wazuri Sana lakini unaambiwa Ana Ukimwi et
  4. Kanali mwime

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Sass unakuta muafricano mzuri kushinda hata huyu utavaa condom SIKU ya kwanza SIKU inayofuata unaacha nimeona madem wazuri Kama hao lakin wana ngoma mkuu
  5. Kanali mwime

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Upo sahihi mkuu ndio maana nimesema unaweza usivae hata kinga maana wanawake wazuri bei chee
  6. Kanali mwime

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Mkuu wanawake Wa huku tofauti Sana na wakwetu tz unaweza jisahau ukaweka peku
  7. Kanali mwime

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Marekani sio saw a na huku kwetu mkuu
  8. Kanali mwime

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Habali zenu wakuu Mimi bado nipo nakomaa na maisha ya huku bondeni japo magumu nayajua mwenyewe, ninachotaka kuwashitua wakuu ni kwamba hapa south watu wana UKIMWI sijawai kuona watu wameathilika Kama miji ya hapa bondeni, nimepima na wanawake 6 ili niwe nao kimapenzi cha ajabu wale 5 wana ngoma...
  9. Kanali mwime

    Mke wa mtu

    Habali wakuu naomba nijue faida na hasara ya kutembea na mke WA MTU,
  10. Kanali mwime

    Wanaume ndio tunaowahalibu wake zetu

    Habali wakuu nimeleta Uzi unaosimama upende sahihi WA wake zetu sisi wanaume, sina shida na wapenzi nasema na walio ktk ndoa, wanaume sisi sio waaminifu kabsa mwanaume tumekua wasaliti sana, tufikilie maumivu tunayo yapata sisi tukisalitiwa hata wao huumia hivohivo, naomba tubadilike wana ndoa
  11. Kanali mwime

    Maisha yangu hapa Johannesburg

    Watanzania Kama wewe wengi wenu wapumbavu ndio maana mnasomeshwa Namba ukubwani na mtaisoma Namba, wewe hizo R L zinakusaidia nini?
  12. Kanali mwime

    Maisha yangu hapa Johannesburg

    Njia Ya bus Boda to Boda mkuu
Back
Top Bottom