Recent content by Kanal Hilal

  1. K

    Kwa kikosi hiki, Yanga anasonga makundi

    Mwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC ameshatolewa katika kinyang'anyiro hicho cha Klabu Bingwa Afrika kuelelekea hatua ya makundi. Ukiangalia...
  2. K

    SoC02 Babu amenisimulia kuhusu mgonjwa wa ICU

    Babu yangu amenisimulia kuhusu athari zinazotokana na kupuuza mambo au kuchukulia "poa" kila kitu. Kupitia simulizi hii nataka nawe ujifunze, na ikibidi ikufanye kuwa mpya kabisa. Bwana mmoja alikuwa mgonjwa sana ICU akipumua kwa msaada wa mashine maalumu ya kupumulia- oxygen machine. Muda wote...
  3. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Una ubongo mdogo usioweza hata kufikiri.
  4. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Wote tukilima mazao atanunua nani?!
  5. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Uwezo wako wa kufikiri unafanana kabisa na uwezo wa binti yangu, yule anaesoma darasa la Pili C.
  6. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Umetisha sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  7. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Kuna watu wanadharau sana Mkuu. Na wanadhani kumiliki gari ndio kumaliza maisha.
  8. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Kiasi naweza kusema hili ni neno. Pole sana Mkuu.
  9. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Watu wana roho mbaya sana kaka. Mtu yupo radhi anunue pombe anywe na kimada kuliko kusaidia wasiojiweza. Kuna shida gani kumpa 1,000 au hata 5,000 kayika mamilioni ukiyonayo?! Ubarikiwe sana mkuu.
  10. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Uwezo wako ni mdogo sana katika kufikiri. Ni sawa na uwezo wa ubongo wa kuku tu.
  11. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Daaah. DEMI unanichosha cos hajasome nichoandika. Tambua hao vijana wala hawakulazimishi kuwalipa. Je umewahi pita sehem njia imeharobika then kuna vijana wanaijenga huku wakikusanya mia mia kwa walitaji?! Kwao wao ukiwapa ni sawa, na hata usipowapa bado ni sawa tu. Iko hivyo hata kwa hao madogo.
  12. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Hoja yangu ni ugumu wa kazi anayofanya dogo. Mazingira ya kazi yenyewe. Hali yake ya kimaisha, lkn bado kuna watu walimpita bila kumpa hata 100 wakati mfukoni wana zaidi milioni moja. Hiyo ndio hoja yangu. Ni sawa sawa na kutoa sadaka, ukiwa nacho unatoa. Na hata usipotoa hakuna wa kukulaumu...
  13. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    [emoji3][emoji3][emoji3] daaah. We jamaa wewe.
  14. K

    Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Kuna wakati pesa inaweza kutafsiri thamanibya kile unachofanya. Waafrika tunapenda sana mseleleko, mtu akufanyie kazi kubwa then umlipe kidogo. Kwa dogo ni wazi aliona Mzungu amethamini kazi yake.
Back
Top Bottom