Recent content by kamyondoli

  1. K

    Je, NAS Haulage kamhonga gari Paul Makonda ili asisumbuliwe kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya?

    Ukijua kumnyoshea mtu kidole basi uwe makini vilivyobaki havikupoint wewe! Avunje ukimya alikanushe hili na ya nyuma ili Athibitishe (Integrity) uadilifu wake
  2. K

    Tanzania ndani ya nne bora za China

    Hata Nchi za Ulaya zinategemea Bidhaa nyingi toka China! Wao wanatengeneza kitu kufuatana na kipato cha nchi husika,hivyo sio kweli kwamba China wanazalisha vitu feki
  3. K

    KESI YA UCHOCHEZI: Tundu Lissu apandishwa kizimbani, apata dhamana, kesi yaahirishwa hadi Agosti 2

    Tusubiri maamuzi ya mahakama! Hakuna aliye juu ya sheria,Sio Tundu wala Polisi
  4. K

    Rais Magufuli, Mama Ndalichako, mnadhani mko sahihi kuichukulia Div.3 ya Sayansi sawa na ya Arts?

    Arts subjects are Subsets of Science,Nina mfano hai kuna jamaa yangu alipata div 3 ya Pcm O'level alipoenda A'level na HKL alipata div 1 ya point 7, Je wa angekuwa wa arts o level angeweza Ku perform hivyo kwenye Sayansi A'level? Tuache ubishi usio kuwa na maana Mkubwa akikomba mboga hasemwi...
  5. K

    Serikali imefuta mchakato wa kutangaza ada elekezi kwa shule binafsi

    Hili ni suala mtambuka kwani linagusa sharubu za vigogo wengi wa serikali! Hivyo nilijua ni kelele za chura na mwisho litazimwa km hivi sasa
  6. K

    Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

    Hawa jamaa ubunifu ni moja ya vipaji vyao,Na ukiona ameamua kuliweka wazi hili ujue na mikakati mipya (Advanced strategies) imeishaandaliwa Kwa ajili ya maboresho ya unyonyaji,Hawa wazungu hawazitakii mema kabisa nchi maskini hasa za Kiafrika na Kiarabu!!
  7. K

    Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

    Nadhani mtoa post kamanisha kuwa mheshimiwa kamaliza kidato cha iv Kwa kuunga unga!! Tatizo hapa ni maslahi binafsi ndio maana walioshiba hawawakumbuki wenye njaa!!
  8. K

    Hatimaye serikali yasalimu amri, itaonyesha live vikao vya bunge

    Bila shaka wamelenga kuuza ving'amuzi vya STARTIMES coz baadhi ya ving'amuzi havina TBC2
  9. K

    Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

    Ni kweli kabisa uchaguzi wa Zanzibar sio suala La Muungano,Kwa nini majeshi ya Tanganyika yanaenda kusimamia uchaguzi Zenji? Naomba ufafanuzi kwa anaejua juu ya hili
  10. K

    Mahakama kuu imetupilia mbali pingamizi la Ester Bulaya dhidi ya Wassira

    Nao hawa wazee wamekula maharage ya wapi sijui,walidhani wana hati miliki na ubunge??
  11. K

    Mwantumu Mahiza alistahili kuteuliwa Mkuu wa Mkoa

    Hakuna mwenye hati miliki ya ukuu wa mkoa,Hizi ni kama mbio za kupokezana vijiti wala zisihusishwe na matabaka ya uswahili,Atapangiwa kazi nyingine
  12. K

    Tanzania ni nchi ya 146 kati ya nchi 158 ya wananchi wasio na Furaha

    Ni vema kujua kwanza maana ya furaha,na pengine vyanzo vyake! Mwisho wa siku unaweza kuona 80% hawana furaha hivyo ndivyo tafiti zinavyofanyika,Hivyo usije ukaona wenye furaha 20% ukasema tafiti zinatuonea!!
  13. K

    Tetesi: Maalim Seif under house arrest

    Kwenye hili siongezi wa kupunguza kitu!!
  14. K

    PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    Mazingira mabovu ya walimu ni moja kati ya changamoto zinazorudisha nyuma maendelea ya Elimu ya Tz
Back
Top Bottom