chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 533
Mahakama kuu imetupilia mbali pingamizi la Ester Bulaya kupitia Wakili wake Tundu Lissu lililotaka shauri ya kusikiliza kesi ya msingi ya Wapiga kura wa Jimbo la Bunda Mjini wanaomtetea Stephen Wasira.
Kwa uamuzi wa leo Tundu Lissu ametoka kichwa chini na shauri litasikilizwa Mahakama ya Rufaa ili kesi ya msingi ipewe nafasi kisikilizwa.
Hii ni mara nyingine tena Wassira anaibuka kidedea mbele ya Pilato.