Recent content by kamwendo

  1. kamwendo

    Ni kwanini wageni wanaotoka mikoa mingine kuhamia kwenye majiji huwa wanafanikiwa kuzidi wenyeji ?

    Mkuu, mbona ni akili ya kawaida tu. Mtu anapata moyo wa kupambana akiwa mazingira mapya, kule anakuwa hana support hana back up, anaishi kwa nidhamu mno. Mimi ni mzaliwa wa Dar, nimezaliwa na kusoma apo ila niliona Mafanikio yangu kwa Dar ni vigumu kutoboa, maana Nina utitiri wa ndugu wengi. So...
  2. kamwendo

    Tafakari sana ni nani wa kumweleza Siri za nyumbani/chumbani mwako

    Aiseeh!! Ni hatari sana na ndo mana wanaume tumakufa mapema. Mtu unayemuamini akushauri ili upate kuutuliza moyo kwa maswahibu yanayokukuta naye anaingiwa tamaa na kukuzunguka Daah!!
  3. kamwendo

    TANZIA Mfanyakazi wa CRDB afariki akifanya mazoezi Daraja la Tanzanite

    Ulikuwa na pupa Mkuu. Mazoezi sio mabaya kama inavyoaminishwa. Kiukawaida unapoenda gym au sehemu ya mazoezi inatakiwa uanze na mazoezi mwepesi ya kushtua misuli ya mwili. Yaani kama ni kukimbia unaanza na kutembea kwanza then unaongea mwendo taratibu mwishowe unakimbia mwili unakuwa unapokea...
  4. kamwendo

    Jifunze kuishi na mwanamke kwa akili

    Ni njia nzuri kama ulivyoelezea, ila inategemeq na aina ya mwanamke unayeishi nae. Kila mtu ana uelewa wake wa mambo, so ni vigumu kutoka hitimisho la Moja kwa Moja.
  5. kamwendo

    Wazoefu na wabobezi: Nina akiba ya Tsh. Milioni 50 nianze na kipi maishani?

    Million 50 kupata kwa mkupuo mmoja ni pesa nyingi. Tuliza akiki dada, jipe muda kidogo walau miezi mitatu ya kufikiria Cha kufanya. Ni vyema katika hiyo miezi mitatu ukaiweka hiyo hela fixed account. Usiamini sana katika kushauriwa, hasa ushauri wa mitandaoni. Trust me watu wengi wanaoomba...
  6. kamwendo

    Anzia chini lakini Kabia Juu

    Mtibeli Halisi. Shikamoo Mkuu.
  7. kamwendo

    Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

    Ni hisia za furaha zikizidi ndo machozi hutoka. Mostly wanaolia ni wale ambao wako na emotionally kwa ukaribu. Wengine ni Ile Hali ya kutoamini though wamepitia mengi tena mipaka walikaribia hata kuachana ila Mungu ni mwema hatimaye imewezekana. So kulia au kutokulia wakati wa harusi...
  8. kamwendo

    Upendo ukipitiliza unakuwa kero na utumwa!

    Hiyo ni Age Matter Mkuu, Sidhani kwa Mshangazi mwenye kuanzia miaka 30's kuendelea atakuwa na huo utoto. Hao wa kupenda kuchatichati mostly ni watoto wa 2000's. Wapo Idle muda wote hawana ishu wala kazi za kufanya. Jitahidi umtafutie uyo manzi wako issue ya kufanya ili awe Busy na yeye...
  9. kamwendo

    Watu wa mikoani tukienda Dar tunang'ara ndani ya muda mfupi,tukirudi makwetu tunapauka

    Mkuu ni Hali ya hewa ya joto, mm nimezaliwa na kukulia Dar unayoyasema ni kweli. Ipo hivi Dar jua ni Kali Sana, na hivyo husababisha joto na kupitia joto mwili hutoa jasho Sana kiasi ambacho kama utakuwa unaoga mara kwa mara lazma ngozi itakate. Kwa Dar ukipaka mafuta au lotion mwilini lazma...
  10. kamwendo

    Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

    Mkuu, jitahidi uwepo mahakamani. Hakuna madhara ya moja Kwa moja kwako binafsi ila zaidi sana utamnufaisha mkeo. Ni vyema ukawepo mahakamani, upinge hayo madai Kwa hoja na hata kama utaridhia, uridhie hoja katika namna inayofaa. Watoto wakiwa chini ya Miaka Saba huwa wanaobaki na mama. Ni...
  11. kamwendo

    Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

    Miaka 13? Mbona mbali sana Mkuu, mm nilitahiriwa nikiwa na Miaka mitano. Nadhani mtoto akitahiriwa akiwa Bado mdogo anapona mapema kidonda sababu anakuwa Bado hajakomaa sana.
  12. kamwendo

    Ndugu wana lawama sana

    Ndugu Mostly ndo walivyo. Hasa kama unatoka kwenye hizi familia zetu za Hali ya kawaida. Mm siwezi kumshirikisha ndugu kwenye hustlers zangu, Kwa jamii yetu ya kiafrika ni ngumu, uwezekano wa ndugu kukuangusha ni mkubwa mno. Wengi hawana nidhamu, Wana dharau na mazoea kiasi kwamba ni ngumu...
  13. kamwendo

    Mjomba anawachukia watoto wangu?

    Daah, Mkuu naona hujamuelewa Mkuu Etugrul Bey Kimsingi maisha Kama maisha Ni fumbo Yana Siri Sana. Unaposema ulifanikiwa Bila kusaidiwa na mtu na ukatoboa hiyo isiwe assumptions yako kuwa kila mtu anaweza kupambana Bila kushikwa mkono na akafanikiwa. Huyo mtoa mada kabla hayajamkuta...
  14. kamwendo

    Wale wenye familia kubwa gorofa 5 bedrooms affordable design yenu hii hapa

    Hata Kama Ni estimated cost bado yupo chini Sana. At least angesema Ni 300M
Back
Top Bottom