Recent content by kamwamu

 1. K

  Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

  Mwongo nambari moja. Uwepo wa majini ni nadharia potofu sawa na uwepo wa Mungu.
 2. K

  Mfumuko wa bei :Taja vitu ambavyo bei yake haishikiki kwa sasa

  Viongozi wote wakubwa directly or indirectly, ni wafanye biashara ( hata mama mumewe ni mfanyabiashara). Biashara ya mafuta ya magari imo mikononi mwa familia za vigogo walio staafu,nk no. Mfumuko huu ni matokeo ya conflict of interest.
 3. K

  Kuwekeza fedha nyingi kwa mtoto wako hasa kwenye elimu na malezi; Je, huwa ni uwekezaji au ni wajibu?

  Uwekezaji wowote unategemea na uwezo na maamuzi. Kuna project zingine probability ya kushindwa ni kubwa kuliko kufauli na bado unachukua risk. Bila hivyo maendeleo tungekuwa bado nyuma kidunia. Maandalizi ya maisha ya mtoto kwa mzazi anaejali wakati mwingine jamii ya karibu hushangaa.
 4. K

  Kuwekeza fedha nyingi kwa mtoto wako hasa kwenye elimu na malezi; Je, huwa ni uwekezaji au ni wajibu?

  Utakapo kuwa na familia tayari utakuwa umepata jibu. Ni wajibu wa mzazi kufanya hayo kwa faida ya pande zote mbili. Unamtengenezea silaha bora kwa mapambano ya maisha yake kesho. Unaondoa utegemezi nyumbani kesho utakapo kuwa umeishiwa nguvu.
 5. K

  Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

  Na hata viongozi pamoja na ukwasi walio nao, akili ni za kimaskini. Wanatumiwa muda mwingi kuelezwa matatizo badala ya njia za kutatua.
 6. K

  Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

  .. kutwa nzima unawaombea mabaya.....sentesi hii unaweza iita executive summary ya andiko lako. Muda mwingi badala ya kupanga mambo yako, unautumia kulalamika na kuwaombea watu wengine mabaya.
 7. K

  Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

  Waziri wa nyumba na makazi yupo? TBS hamjambo? Nahisi majengo binafsi nao wamenza kutumia force account!
 8. K

  Hyundai kutengeneza Magari ya Umeme

  Kabla ya February.
 9. K

  Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

  Jaji anasikiliza na kuandika, lakini ana uwezo wa kiona shahidi anaelekezwa majibu, kuliko liwezavyo kiona jopo la mawakili wa serikali. Huyu apewe hadhi ya super judge.
 10. K

  Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

  Turudi kwenye DR za Dar central na Tazara. Ya Tazara imenyofolewa na kuungwa karatasi, ya Central je?
Top Bottom