Recent content by KAMUZUBERA

  1. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Natafuta maranda ya mbao Dar es Salaam au Pwani

    DIT ndani ya chuo au sehemu gani
  2. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Natafuta maranda ya mbao Dar es Salaam au Pwani

    Ni tunakubaliana tu, kutokana na wingi wa mzigo
  3. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Natafuta maranda ya mbao Dar es Salaam au Pwani

    Habari Natafuta maranda kwa kiasi kikubwa hasa kwa yawepo Dar es salaaam na Pwani Kama unayo please ni cheki tuongee biashara.
  4. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Gesi ya Tanzania ni ya nani?

    Gas ya majumbani tunayotumia ni Liquified petroleum Gas (LPG). na wala sio gas inayotoka Mtwara. Gas inayochimbwa Mtwara ni Natural gas, and mostly inatumika kundeshea mitambo mikubwa na viwandani, kama vile TWIGA cement etc. So gas tuitumiayo huwa inatoka nje moja kwa moja na sisi tuna store...
  5. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo nauli ni kiasi gani?

    Check kwenye page ya LATRA
  6. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Wadau kula bata kesho ni kiwanja kipi kitanoga?

    MONTANA_VIP LOUNGE
  7. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mwishoni kulikua na jamu mimi nilikua nacommand sana. Ndomana imesema inaonekana nishaapply recently hiyo kazi , mjomba mzigo umetembea kwa wale ambao website ilikua poa ndo ilikua inaleta direct ,THANK YOU
  8. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Kuna mdau alinishauri aliniambia itakua imeenda. Maana ile notification ilionesha nishaomba, maana nilikua narudia mara nyingi nyingi
  9. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Subira muhimu,
  10. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    HAWEZI
  11. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Jamani ikileta hivi imekaaje, maana nilikua najaribu many times
  12. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Daladala za kupanda kufika Ocean Road cancer institute

    Hazipo mkuu
  13. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Je, ni yupi?

    4. Marehemu anakitambaa mkononi cha shirt alilovaa mwamba
  14. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

    Daaaaa mkuu kama umenisema mimi vile...... nimeshtuka sana. Ama kweli tabia ya vijana wa rika ilo inafanana sana
  15. KAMUZUBERA

    JamiiForums Tanzania Je, huduma ya LUKU ina shida gani?

    kanunue POstal bank
Back
Top Bottom