Recent content by Kamundu mngoko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndiyo habari ya mjini huko Uganda

    Usimtete huyu kijana ni bookish hana uwezo wala ubunifu wa kuongoza kapewa fadhila za kampeni, kanachora vikatuni vya kinafiki kinyama, dogo badilika u do not impress us
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Kikwete ndio alikuwa tatizo kubwa, chini ya magu watapiga kazi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Sasa hilo baraza siangetangaza siku ya pili baada ya kuapishwa mbona ni mijitu ya hovyo ileile?
  4. K

    JamiiForums Tanzania USA: Maneno ya Trump ni hatari kwa usalama

    Why islum? Probably may be something wrong with islamic teachings
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Haya ni baadhi ya mambo mazuri aliyoyafanya Jakaya Kikwete

    Naposikia habari za huyo mtu nasikia kichefuchefu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Malecela: Magufuli hatarini

    Huyu mzeendio atakuwa shahidi mahakamani mana unaujua michongo wa kumdhuru rais
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Huyu kikwete anatakiwa akamatwe pamoja na mtoto wake waeleze wamepata wapi Mali, nawasiwasi na uwezo wake wa kuelewa na kupambanua mambo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Tumwombe Mungu amchukue huyu msoga mana kuendelea kuishi kwakwe ni hatari kwa ustawi wa inchi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Huyo hata udocta sojui alipataje
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Kikwete aibukia Uingereza: Atunukiwa Heshima ya (CPTM)

    Wewe unamatatizo makubwa ya akili, unaongea uchafu mtupu hata hujui tulipaswa tuwe wapi kimaendeleo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi linatafuta cha kusema pindi baraza la Mawaziri litakapotangazwa

    Kama kweli huo ni uchafu wa mawaziri
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Wezi wa aina yoyote hauvumiliki, kutoza ada kubwa ni wizi, lungu kwao ni halali
  13. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Nyie ndio wezi mliotafuna inchi, sasa mnatapata tuu, laana iwe juu yako
  14. K

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja ITV: Ahadi za Magufuli hazitekelezeki

    Hao wanaothani ahadi hazitekelezeki ni wajinga sana na wamezoea umaskini, hakuna jambo lisilo na jibu
Back
Top Bottom