HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,328
- 1,666
Duh! M7 kama angekuwa mtu makini anatakiwa kujiuzulu haraka sana.Ukingalia hizo comment ni dhahiri wengi wamemchoka.Kilio cha Waganda kinawakilisha pia kilo cha nchi hizi:Angola,Cameroon,Burundi,DRC,Afrika Kusini,Guinea ya Ikweta,Chad,Gabon n.k. Watawala wa nchi hizi wamelewa vibaya sana madaraka kwani 'power corrupts,absolute power corrupts absolutely'.