Recent content by kamsongole

  1. K

    Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Asanteni sana kwa uzi huu mzuri, mimi pia nina jambo la kuuliza, nilitakiwa kupata siku zangu tarehe 29 mwezi wa 12 Lakin mpaka sasa bado. Mwili unachoka, viungo vinauma, tumbo na kiuno vinauma pia , lakini nimeenda hospital nikakuta sina mimba, nimepiga hadi ultra sijaona kitu, tatizo litakuwa...
  2. K

    Viti Maalum wanapatikanaje CHADEMA?

    Mwaka huu walitoa mwongozo kuwa kila jimbo wajitokeze wagombea viti maalum wasiopungua kumi. Wapigiwe kura mshindi wa kwanza mpaka wa kumi. Then majina yote yalipelekwa ya kila jimbo. baada ya uchaguzi wataangalia idadi ya wabunge wa kuchaguliwa Then watachagua best candidet kutoka kila jimbo...
  3. K

    Mwenzenu leo nimeamua kukazia Hukumu, "Simwangalii Nyani Usoni"

    safi Sana kamanda mi nadhani kwa kuwa unataka kuwaadhibu basi piga mafiga matatu. Ili huyo wa kijani asibaki peke yake
  4. K

    Wafungwa kwenye magereza yetu

    Hello wadau, habari zenu jamani. Mi naomba kuuliza wanasheria, hivi wafungwa wanaruhusiwa kupiga kura? Maana nina wasiwasi na huu mchezo wa kamatakamata huenda siku ya kupiga kura wengine wakawa gerezani. Naomba kusaidiwa katika hili wana JF
  5. K

    Kweli duniani hatupendani

    Hahahahahahaaaaaaa. umenitia moyo sana, yaani binadamu ni ngumu kumuelezea namna alivyo. Unacheka na mtu kumbe moyoni ni hatari. Yaani we acha tuu.
  6. K

    Kweli duniani hatupendani

    Yaani wanaboa, alafu wanaongea kilugha wewe huelewi, kumbe ndo unapigwa chini. But all in all GOD is good.
  7. K

    Kweli duniani hatupendani

    Umeona ee, yaani kazi kwelikweli. Maana hatuchelewi kugeukana.
  8. K

    Kweli duniani hatupendani

    Hili nalo wazo, ngoja nijipange. Ila inaumiza at first.
  9. K

    Kweli duniani hatupendani

    Ndo hivo ndugu yangu yaani hata hamu ya kuendelea na hiyo biashara sina maana ni shida kweli.
  10. K

    Kweli duniani hatupendani

    Kweli duniani hatupendani, juzi kati nimekaa na mtu wa nyanda za juu kusini tukapanga kuanzisha biashara ya kupika chakula kwenye sherehe mbalimbali. Tukaweka mikakati kemkem na mipango mizuri, tukadhamiria kuanza kazi mara moja. Basi tukaanza kupanga nani tumshirikishe akawa anawataja watu wa...
  11. K

    Mimi ni mwalimu wa sayansi natafuta kazi

    Nimejitahidi kutembelea ila wanasema walimu wanao labda nisubiri ikitokea nafasi. Thanks
  12. K

    Mimi ni mwalimu wa sayansi natafuta kazi

    TAMISEMI nimeenda nimeambiwa nivute subira kidogo. tangu januari mpaka sasa sijapewa jibu. Juzi tu nimeenda nikaambiwa nivute subira. Sa sijui nivute hadi lini. Nimeamua kurudi zangu private.
  13. K

    Mimi ni mwalimu wa sayansi natafuta kazi

    Asante mkuu kwa hiyo ya kongowe na mbagala ntakutafuta. Hiyo Kongowe ni mbagala au kibaha? Just to know the location. By the way ntawatafuta.
  14. K

    Mimi ni mwalimu wa sayansi natafuta kazi

    pasport ya nini tena? mi shida yangu ni kazi mkuu. Pasport ntaweka kwenye application letter.
  15. K

    Mimi ni mwalimu wa sayansi natafuta kazi

    Habari wadau mimi ni mwalimu wa physics na chemistry nina degree science with education from UDSM. Natafuta kazi kwenye shule za private maeneo ya Dar, Pwani na Morogoro. Uzoefu miaka mitano, kama kuna mtu ananafasi au anafahamu mahali naweza pata hiyo kazi naomba anisaidie. Thanks.
Back
Top Bottom