Recent content by KAMSELA

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Kwa umoja wetu twendeni kesho tukapige kura za hasira ili tuweze kumuadamisha huyu Meko !! Hii too much sasa!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Mbona una zungukazunguka tu!? Nimekuuliza Msaliti kivipi? Hili ndilo tatizo lenu, kutoa tuhuma tu bila uthibitisho.
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Hebu thibitisha kauli yako, msaliti ki vipi?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tibirizi, Pemba mkutano wa kufunga kampeni ya Maalim Seif. Tundu Lissu ahudhuria

    Hakika ni yeye 2020, chagua TAL
  5. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Kweli Kabisa. Huyo dogo asilewe madaraka
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM kufyeka wanaotumia Corona kusaka Ubunge

    Watajuana wenyewe
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM kufyeka wanaotumia Corona kusaka Ubunge

    Watajuana wenyewe
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Wilaya ya Kigoma limezuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe

    Wee jamaa hujielewi kabisa!! Hukute hapo maisha yanakuchapa kabisa ila mwanzo mwisho kujipendekeza
  9. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Maridhiano ni muhimu sana!! Wananchi kukaa kwao kimya usizani wanafurahia yanayofanyika. We need to be free in all aspects.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kardinali Pengo ang'atuka, Askofu mkuu Ruwa'ichi ashika usukani Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    Tumuombee awe mtetezi maana Pengo alianza kukengeuka.
  11. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Mmm! hawa maccm!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Karibu sana katika ukombozi wa pil mzee. Pia naunga mkono mwandosya ashawishiwe il ajiunge UKAWA,.
Back
Top Bottom