Recent content by Kamsekwa

  1. K

    Wimbi la viongozi wa dini kutaka kuitwa madokta (Phd)

    Kilichotutoa roma ni kile kilichomtoa luther-mafundisho yasioyo sahihi. Mfano bible haifundishi tukaungame dhambi zetu kwa padri. Hata uwe na kanisa la namna gani magugu yatakuwepo tu, Yesu mwenyewe alikuwa na mwanafunzi mwizi. Mungu anautaratibu wa kushughulika na kila jambo na wala sio kwa...
  2. K

    Wimbi la viongozi wa dini kutaka kuitwa madokta (Phd)

    Jaji mfawidhi, nafikiri umelishwa tu maneno na mtu ambae alikuwa msharika hapo upanga, maana mwenyewe umekiri "utaokoka" meaning bado. Kwanza nikurekebisha, huwezi kupewa uprofesor kama sio mwalimu wa chuo kikuu, So, Bishop anachopewa may be ni udaktari wa heshima. Ungekuwa unaijua historia ya...
  3. K

    Wimbi la viongozi wa dini kutaka kuitwa madokta (Phd)

    Ndugu kumbuka, kwa kila jambo anenalo mwanadamu kuna siku atatoa hesabu yake mbele ya kiti cha enzi, natumai unauhakika na unachosema pasipo shaka. Ila natamani kujua motive yako ni nini kuleta habari hii jf?
  4. K

    Nina bifu kali na Makonda lakini kwa suala la marehemu Ruge mnamuonea bure, nipo kumtetea.

    Mkuu muogope Mungu, acha kusema uongo, Fuatilia hiyo story vizuri, mbona iko youtube-Gwajima hakuwahi kuwatumia shilawadu, ila shilawadu walimrecordi mwanamke anayedai kuzaa na Bishop Gwajima wakati ni uongo, Muheshimia akawa analazimisha story ya kumchafua gwajima iruke hewani. Why unageuza...
  5. K

    Kuhusu Forex na TMT,,huu hapa ukweli juu na ninachojua

    Halafu ukishajua? Itakusaidis nini kuongeza kipato chako?
  6. K

    Kuhusu Forex na TMT,,huu hapa ukweli juu na ninachojua

    Kwani ukijua ndo nini? Pesa zetu na tumeamua wenyewe nyie kinawauma nini? -mlitusaidia kuzitafuta?. Pambana na hali yako acha wivu. Pilipili iliyoshambani inakuwashia nini? -ajitokeze basi hata mtu mmoja anayedai ametapeliwa.. Toka juzi hakuna aliyejitokeza zaidi ya watu wenye wivu ndo wanakuja...
  7. K

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Acha uongo hakuna anayelazimisha kutumia jpm kama hataki kuwa part ya TMT. Unaweza kupata training tu na ukaendelea na issue zako sasa hapo unalazimishwa vipi?, ila ukitaka kuwa member wa TMT ndio unawajibika kufuata terms and conditions ambazo ziko wazi kabisa kabla hujaanza training. Mbona...
  8. K

    SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

    Mkuu pesa si za kwao. Hukuwasaidia kuzitafuta-wote wapo above 18,wanajua nini kibaya na kipi kizuri. Inakuuma nini wakati pesa sio yako? -pambana na hali yako. Acha wivu
  9. K

    Kuhusu Forex na TMT,,huu hapa ukweli juu na ninachojua

    Jibu hoja matusi ya nini. Hauna hata abc forex halafu unakuja kuongea usichokijua
  10. K

    Kuhusu Forex na TMT,,huu hapa ukweli juu na ninachojua

    Wewe umetapeliwa nini ndugu? Au wivu tu pambana na hali yako. Hela sio ya kwako inakuuma nini
  11. K

    Nakemea vikali ujinga, uongo, uhuni na utapeli unaoenezwa na baadhi ya JF members

    Mkuu ficha ujinga kidogo basi, yaani ungekuwa mfuatiliaji kidogo tu, ungeishajua kuwa jamaa kabla ya kuanzisha TMT alisha kwenda kwenye authority zote including BOT. Fanya utafiti kabla ya kuongea. Hapa kinachoonekana ni wivu wa kike tu. Sasa kama mnasema misukule wanapoteza pesa zao-nyie...
  12. K

    Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

    Kanali mtaafu usiwadanganye watu, kama hujui ni bora kuka kimya. Thesis na dissertation zinatumika kwa both master degree and PhD degree as well. Tofauti yake ni kwamba ukifanya masters or PhD bila ya kuwa na coursework-yaani umefanya research only hiyo inaitwa Thesis. But kama masters na Phd...
  13. K

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa wahenga wote wanaotaka kujua market sessions hours kwa masaa ya kitanzania ni kama ifuatavyo: Sydney session: Saa 7usiku hadi 4asubuhi. Tokyo Session: 8usiku hadi saa 5 asubuhi. London Session: Saa 4asubuhi hadi saa 1usiku. New York session: Saa 9mchana hadi Saa 6usiku. Kwa information...
  14. K

    TCU yatangaza mwisho wa maombi vyuoni 13/08/2017

    Mkuu nikuombe msamaha kwanza, ila sio mvivu wa kusoma, nimegundua TCU wanajichanganya sana Kuna Barua nyingine ya TCU imetumwa vyuoni ndo inaonesha tarehe hizo.Tusubiri muda utaongea.
  15. K

    TCU yatangaza mwisho wa maombi vyuoni 13/08/2017

    Mkuu ni vizuri ukileta habari iwe ya uhakika , admission kwa undergraduate zinaanza 22 July 2017 na mwisho ni 30th August 2017.na sio tarehe uliyesema wewe.
Back
Top Bottom