Nadhan tatizo bado lipo kwetu sisi wapiga kura hasa wa vijijini kusikokua na TV....mama Kilango alikua mpambanaji lkn wa kwenye tv sio Same....nadhan Same walihitaji madaraja, maji, barabara, shule na mengineyo ikiwamo kutumika pamoja ktk shughuli za maendeleo ya wananchi. Ni kama ilivyokua kwa...