farajamilele
Member
- Feb 12, 2014
- 91
- 63
mshana jr, watu wamekuamini sana kwenye ulimwengu wa uongo (ushirikina). najua unaujua ukweli, ebu badilika uwahubirie wafuasi wako ukweli ili wawe huru.
mshana jr, watu wamekuamini sana kwenye ulimwengu wa uongo (ushirikina). najua unaujua ukweli, ebu badilika uwahubirie wafuasi wako ukweli ili wawe huru.
Kesho tutaendea
Ahsante kwa kuandika kizungu ili wengine tusielewe, tukomeshe tu
Wewe mtu una visa sana ila atakuelewa mshana jr usijal.Ahsante kwa kuandika kizungu ili wengine tusielewe, tukomeshe tu
Ujumbe wa dada yangu Evelyn Salt umeupata?
asantee ila mbona haijaendelea very interesting!!