Recent content by Kamongo2

  1. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Jina lako JF (ID) lina maana gani na kwanini umejiita?

    Aina ya samaki ambaye nikimuota kwenye ndoto lazima kesho yake nipate balaa zito aidha kiuchumi, kijamii n.k
  2. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Jina lako JF (ID) lina maana gani na kwanini umejiita?

    Acha kabisa huyo lecturer umenikumbusha mbali
  3. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

    Njoo Kanda ya ziwa uwe chinga wa mabondo ya sangara
  4. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kuishi Tanzania

    Mbeya city
  5. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Asante kwa baadhi ya mawazo yenu wanaJF niliyafanyia kazi na ameitema kwa njia ya haja kubwa leo saa 12 asubuhi
  6. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  7. Kamongo2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

    Kwa hapo nkome na kakubiro ni wengi saana
  8. Kamongo2

    JamiiForums Tanzania Jina gani la mwana JF ukiliona tu unaangua kicheko?

    Mnyonyambususu
Back
Top Bottom