Recent content by kamojatu

  1. K

    Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

    Uongo pia umo. TP Mazembe amekwishapigwa nje. Bado Al hilal.
  2. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Wewe una disagree kwamba Rombo hakuna uhalifu wa kutisha? Kwa nini unapanick? Unataka vyombo vya usalama vimchunguze mtoa taarifa badala ya kuchunguza hao polisi wako wanaotuhumiwa? Unasema uhalifu umepungua weka facts hapa tujue umepungua kwa asilimia ngapi. Unataka kusema sio kweli kwamba...
  3. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Hapana sio Wakenya bali ni vijana wazaliwa wa palepale na polisi wanawajua. Rombo ni wilaya yenye hali mbaya sana kiusalama. Polisi, majambazi, wauza bangi na gongo ni timu moja. Raia hawapati usingizi.
  4. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Bila shaka ujumbe umefika tunasubiri kuona vitendo
  5. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Ni kweli kabisa. Kijiji cha Manda Chini kuna genge la waporaji na wauza gongo lakini cha ajabu polisi wa kituo cha Mengwe wanachukua salio na kuwajulisha taarifa zote wanazopata kutoka kwa wasamaria wema na wahanga wa matukio husika. Matokeo yake wananchi wanaogopa kutoa taarifa polisi pindi...
  6. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    RPC Kilimanjaro tupia jicho wilayani Rombo. Polisi wako wanakuharibia kazi.
  7. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Tatizo ni polisi wanashirikiana nao. Huwezi kuamini ni Tanzania ya Magufuli. Ukiwa Rombo unaishi kama uko Sudan Kusini. Ikifika sa 12 unawahi nyumbani.
  8. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Cha ajabu OCD anazo taarifa lakini anafanya siasa. Anafanya mikutano ya hadhara na wananchi na kutoa namba za simu badala ya kukamata wahalifu na kufukuza askari wezi wa kituo cha Mengwe.
  9. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Ujambazi ndio usiseme. Wananchi wanajifungia majumbani ikifika saa 12 jioni
  10. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Rombo utafikiri sio jamhuri ya Tanzania. Watu wana viwanda vya gongo majumbani. Polisi wamafika kuchukua ruzuku
  11. K

    Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji...
  12. K

    Sauli Luxury Bus njia ya Mbeya naona ndio mfalme mpya Newforce hoi

    Sauli ni shida aisee. Nikiikosa naahirisha safari.
  13. K

    Nimeguswa na tukio la Kanisa la Mtume na Nabii Mwamposa kuhusishwa na vifo vya waumini 20

    Kama wewe ni mfurukutwa wa dini za shetani nenda kaiombe serikali imsamehe na si wakristo. Huyo amesababisha mauaji lazima mkono wa sheria uhangaike nae.
  14. K

    Thamani ya daraja la kwanza pointi 7(division 1.7) miaka ya leo

    Kama A inaanzia 75-100 kwa nini unafikiri haiwezekani wanafunzi 68 kuangukia kwenye range hiyo? Mbona ni kawaida sana?
Back
Top Bottom