Recent content by Kamkonn The Hunter

  1. Kamkonn The Hunter

    Tatizo la TRA ni kuwatumia watendaji wapya

    Aisee bwashee hii kitu ina mambo mengi kweli kweli! Wakati mwingine ni wafanya biashara wenyewe ndio wanashawishi haya mambo wakidhani ni kukomboa wakati kumbe ndio wanaharibu na kujiharibia kabsaa! Haya! Kwa upande wa viongozi nao kuanzia ngazi za juu(sio wa TRA tu, serikali yote)ambao...
  2. Kamkonn The Hunter

    Uchumi wa Frame Tanzania

    Halafu wajenga FRAME wenyewe kiasi kikubwa inaonekana hawana walau hata kaujuzi kadogo ka biashara, wanajijengea ilimradi tu pasipo kujua kwamba Uchumi wa Frame unaendana na location pia!😥
  3. Kamkonn The Hunter

    Uchumi wa Frame Tanzania

    Dah! We jamaa! Halafu linta zimeanza kuporomoka kabla FRAME zenyewe hazijaisha!🏃🏃
  4. Kamkonn The Hunter

    Yanga yapigwa nyundo ya Tsh. Milioni 82 na CAF

    Double standard!🤔
  5. Kamkonn The Hunter

    Tamaa ya Uongozi: Tanzania iwe na Marais Wawili kwa Sababu Idadi ya Watanzania Imeongezeka

    Mkuu usichukulie kwamba tunayasema haya pengine kwa sababu hatupendi majimbo ikiwemo mbeya mjini igawanywe! La hasha! Kumbuka wanasiasa hawayapendekezi haya kwa sababu wana nia ya dhati ya kuwahudumia wananchi, hapana! Lengo ni kulinda maslahi yao tu wala si vinginevyo. Hao wabunge wa dsm...
  6. Kamkonn The Hunter

    Tamaa ya Uongozi: Tanzania iwe na Marais Wawili kwa Sababu Idadi ya Watanzania Imeongezeka

    Hii ni AIBU sana, yaani viongozi wetu wamejawa na TAMAA kweli kweli! Muda wote wanajifikiria wao na matumbo yao tu basi!
  7. Kamkonn The Hunter

    Tamaa ya Uongozi: Tanzania iwe na Marais Wawili kwa Sababu Idadi ya Watanzania Imeongezeka

    Mkuu tofauti na mwalimu au daktari na watumishi wengineo, mbunge hahitaji kuonana na mtu mmoja mmoja kila siku!!
  8. Kamkonn The Hunter

    Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

    Yaani ukiona mtu anamdharau mwalimu msamehe tu maana hajitambui huyo!
  9. Kamkonn The Hunter

    Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

    Duh! Hii ni hatari sana, Ila kwa nchi wala sishangai, inawezekana kabisa kwa sababu walio juu wanawazia matumbo yao tu!
  10. Kamkonn The Hunter

    Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

    Ngulamu ni chui bwashee!! Huyu ni African serval mangi!
Back
Top Bottom