Recent content by Kaminuza

  1. Kaminuza

    Nimefuatilia maandiko ya Ansbert Ngurumo huko alikokwenda, nimesikitika sana

    Lete uzi mmoja wa kufikirika alouandika tuthibitishe hoja yako. Vinginevyo bora ukae kimya watu wasijue kwamba wewe ndie mganga njaa.
  2. Kaminuza

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Waungwana, naomba mnijuze kama ni kweli kwamba fao hili limeondolewa kisheria? Na kama ni kweli limeondolewa, ni kwa manufaa ya nani, mwajiriwa au mfuko husika? Nini maoni yako kuhusu swala hili? Msimamo Wangu binafsi ni kwamba NAPINGA KWA NGUVU ZOTE KUONDOLEWA FAO HILI.
  3. Kaminuza

    Waraka wangu kwa viongozi, wanachama na wapenzi watukufu wa CHADEMA

    Toa data kwamba ruzuku haifiki huko, mnaotumiwa na ccm mtajakimbia nchi hii kwa kuendekeza kuokota makombo ya fisadizi.
  4. Kaminuza

    Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

    Itakufa ccm kwa kuzungukwa na wendawazimu na waokota makombo ya fisadizi. MABADILIKO NI CDM NA NI LAZIMA HATA MTEMBEE BILA NGUO.
  5. Kaminuza

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Hivi wewe unaelewa maana ya vita? Nyerere kapigana vita ngapi? niambie nchi iliyotoka vitani inatengamaa baada ya muda gani? ACHENI DHARAU. Tuache hayo, hivi huu umoja na toufati ndogo ya kipato baina ya watu wakti ule utaisemaje bila kumtaja NYERERE? Huwezi kumlinganisha NYERERE na yeyote kwa sasa.
  6. Kaminuza

    Wenye akili CHADEMA wapo kimya

    Ninyi ccm mbona mmekomaa sana na huyu zzk? mchukueni. chama kinachoongoza serikali inayofaulisha watoto wasiojua A wala B, operation tokomeza etc, bado umeng'ang'ania tu, kisa ladha ya makombo ya ufisadi. Ubwege hautaisha Nchi hii!
  7. Kaminuza

    Wenye akili CHADEMA wapo kimya

    Sasa kama ni hivo, na zzk aliyeuza majimbo?
  8. Kaminuza

    Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio ya kweli na sijavunja Katiba

    zzk ----- tu ka wewe, ukatae posho utembelee hummer, wapi na wapi?
  9. Kaminuza

    Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio ya kweli na sijavunja Katiba

    Huyu zzk ni mtu hatari sana. Hata kama atakanusha yote lakini ushahidi wa kimazingira unamtia pingu. Washkaji wanaomwandalia mikutano ccm, wasemaji wake ccm. ccm=fisadizi=mumiani wa damu za wabongo=zzk; mchukueni sasa maana kama alikuwa hajakamilisha alichokitafuta keshachemka, hatapata. Ondoka...
  10. Kaminuza

    Dr Alex, Msaidizi wa Zitto Apigwa na Kujeruhiwa Vibaya Tegeta!

    Yeyote anayekomalia ukabila ndio walewale walionyweshwa sumu na ccm na sasa inawalevya wakisubiri kuvuta tu. Hivi hii CHADEMA iliyoenea kote TANZANIA bado unaiimbia wimbo wa ukabila? Ondoeni ulevi huu hatari mlionyweshwa na ccm, ni hatari kwa TAIFA. MAPINDUZI NI LAZIMA.
  11. Kaminuza

    Dr Alex, Msaidizi wa Zitto Apigwa na Kujeruhiwa Vibaya Tegeta!

    Kwa akili yako ilivyochakaa, unafikiri CHADEMA ni ya wachaga; na sasa waha mnataka kuiteka? Umeishiwa, CHADEMA ni ya Watanzania, TUMAINI la UKOMBOZI lililosalia Tanzania hii. Ndio tunakubali zzk ni level nyingine ya kusaliti mapinduzi na kuokota makombo ya ccm; Narudia tena, hata mfanye nini...
  12. Kaminuza

    Chadema hakuna wakumlaumu chama chenu mmekimaliza wenyewe

    Mnaookota makombo ya ccm mna taabu sana. Kama huyo zzk hamumtumii, ajitokeze kujibu tuhuma za kuuza majimbo 2010. Kama CHADEMA inakufa si mshangilie? Mtake msitake ukombozi lazima. Mtatumika sana, mtaishia jalalani.
  13. Kaminuza

    Tundu Lissu

    We bro ni mmoja wa wanao faidi matunda ya ufisadi, kaa kimya Mwache Lissu afanye kazi. Mfumo fisadi ulishadumaza uwezo wa wengi kufikiri hasa wanaofaidika nao. Ukombozi ni LAZIMA hata kama utachelewa.
  14. Kaminuza

    Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

    Ndugu zangu wapenda mabadiliko, wana CHADEMA na wapinga ukoloni huu wa weusi wenzetu, nawaombeni kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho zitto amesababisha sokomoko ndani ya chama chetu, naamini ndicho alichotumwa kufunya. Amini usiamini wote wanaomtetea zitto na wenzake ni wana ccm. Embu...
Back
Top Bottom