Recent content by kamili

  1. kamili

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU CHUKUA TAHADHARI SEKONDARI YA BEATRICE SHELUKINDO YA KILINDI

    Asante, noted
  2. kamili

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU CHUKUA TAHADHARI SEKONDARI YA BEATRICE SHELUKINDO YA KILINDI

    Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu...
  3. kamili

    JamiiForums Tanzania Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

    umechagua watetea ccm, hatuhitaji mtete ccm, tunathitaji mpigania mtu atakapigania maendeleo ya nchi
  4. kamili

    JamiiForums Tanzania Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

    wewe usiyemuani kula mara kumi kwa siku, wale wanaomwani acha wamfuate
  5. kamili

    JamiiForums Tanzania Rais Samia,kuwa makini na wasaidizi wako.

    Kwa CCM jambo lolote ambalo halimsifii rais in matusi, uchochezi na vita
  6. kamili

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Bila ya kuondoa kikokotoo kwa mara ya kwanza nitatumia haki yangu ya kikatiba kumkataa na chama chake. Hata kama yeye na chama chake CCM atachaguliwa na raia wote wa Tanzania moja ya hapana itakuwa ya kwangu.
  7. kamili

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizokuwa zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM

    kwa macho yako zimetatuliwa, kwa wapenda maendeleo kero na shida zimeongezeka
  8. kamili

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    namshukuru sana na kumpongeza kwa kikokotoo kitakachotuuumiza uzeeni nguvu zetu zitakapoisha.
  9. kamili

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Nafasi sahihi ya Makatibu Wenezi wa CCM katika utawala wa nchi?

    Huyo sio paka ni mdoli, hakuna paka mdoli anayekamata panda. Ruksa kujifurahisha kwa kujilaghai, but kama mna shida kweli elekezeni sehemu sahihi.
  10. kamili

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Yaani hivi kuna mtu anayemsikiliza Makonda. Labda wanachama wa Ccm wachache wanaofikiria teuzi.
  11. kamili

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Nafasi sahihi ya Makatibu Wenezi wa CCM katika utawala wa nchi?

    Licha ya CCM kuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 60 ndio chama kinachovuruga dhana ya utawala kushinda hata madikteta. Katibu mwenezi wa CCM hana mamalaka ya kumkaripia hata kibarua wa siku. Kazi yake ni ushawishi na uratibu wa wananchama wa chama chake. Ni kosa kuwahoji watumishi wa serikali...
  12. kamili

    JamiiForums Tanzania Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

    Bado unasoma makala za Mayalla? Dah mimi nilishampuuza zamani sana. Kabla ya utawala wa Magufuli Mayalla alikuwa mwandishi bora zaidi. Baadae siku Magufuli alimfanya nini, bora nicheze na wanangu kuliko kumsoma Mayalla.
  13. kamili

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    Huko kujificha maana yake wanateleleza majukumu kinyume na sheria na taratibu zetu. Trafiki nayefanya kazi yake kihalali hawezi jificha
  14. kamili

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    polisi wetu (sina hakika kama ni wetu) wana mambo ya ajabu sana
  15. kamili

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    nitashukuru kama kweli huwa wanasikia
Back
Top Bottom