Rais Samia,kuwa makini na wasaidizi wako.

The Whistleblower

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
269
Reaction score
459
Zimetapakaa Taarifa kuwa mtandao wa X zamani Twitter utafungiwa na Serikali.
Yumkini chokochoko hizo zinatengenezwa na vijana wa UVCCM pamoja na wasaidizi wako wachache wanaopenda kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili waendelee kubakia kwenye nafasi zao.
Rais Samia,ni vyema utambue kuwa nafasi uliyonayo ni ngumu na nzito sana.
Unapokuwa kiongozi mkuu,unageuka kuwa jalala,kila mtu anatupia uchafu kwa kadri anavyojisikia.
Hakuna kiongozi asiyetukanwa Duniani,awe mwema au mwovu, sasa hao wana CCM kama wanaona mtandao wa X unakukosoa au kukutukana eti ufungiwe watakuharibia kabisa.
Utaonekana kiongozi wa hovyo anayechukia Uhuru wa Habari.
Wanataka usifiwe tu Eti usikosolewe kwani wewe umekuwa Mungu?
Kumbuka walivyokuwa wakimsifia Magufuli na baada ya kuondoka Duniani wanamzodoa sasa hivi.
Rais Samia, wewe ni mwanadamu,una mazuri yako na mabaya yako.
Epuka machawa watakupeleka pabaya sana.
 
Huu mtandao wa X ufungwe tu. Watanzania Tumezidi umbea na uvivu. Hata JF ifungwe tu. Ifike wakati tuache uvivu na umbea twende tukafanye kazi. Uwezo wetu hupo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi hivyo vitatatu tunaweza na kutuinua kiuchumi.
 
Shida ipo kweny mioyo ya watu mtandao wa x ni chombo tu xo kufungia mtandao si suluhisho
 
Huu mtandao wa X ufungwe tu. Watanzania Tumezidi umbea na uvivu. Hata JF ifungwe tu. Ifike wakati tuache uvivu na umbea twende tukafanye kazi. Uwezo wetu hupo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi hivyo vitatatu tunaweza na kutuinua kiuchumi.
Unasema JF...!!
 
Uwezo wako kichwani ni mdogo mno
 
Huu mtandao wa X ufungwe tu. Watanzania Tumezidi umbea na uvivu. Hata JF ifungwe tu. Ifike wakati tuache uvivu na umbea twende tukafanye kazi. Uwezo wetu hupo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi hivyo vitatatu tunaweza na kutuinua kiuchumi.
Kwa hivyo ww unadhani watu kuwepo active kwenye mitandao tafsiri yake hawafanyi kazi?!
Wanaishije sasa.
Watu wanachungulia mitandao na kazi zinafanyika...acha kuwapangia!
 
Wanaishi kwa kuungaunga na kubahatishabahatisha.

Kammon FANYENI kazi
 
Huu mtandao wa X ufungwe tu. Watanzania Tumezidi umbea na uvivu. Hata JF ifungwe tu. Ifike wakati tuache uvivu na umbea twende tukafanye kazi. Uwezo wetu hupo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi hivyo vitatatu tunaweza na kutuinua kiuchumi.
Kweli mkuu una stress
 
Kumbe ni twita tu, nkajua wasaidizi wamemuandalia mama safari na helicopta.

Mama anatosha kutuvusha.
 
Zimetapakaa Taarifa kuwa mtandao wa X zamani Twitter utafungiwa na Serikali.
Yumkini chokochoko hizo zinatengenezwa na vijana wa UVCCM pamoja na wasaidizi wako wachache wanaopenda kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili waendelee kubakia kwenye nafasi zao.
Rais Samia,ni vyema utambue kuwa nafasi uliyonayo ni ngumu na nzito sana.
Unapokuwa kiongozi mkuu,unageuka kuwa jalala,kila mtu anatupia uchafu kwa kadri anavyojisikia.
Hakuna kiongozi asiyetukanwa Duniani,awe mwema au mwovu, sasa hao wana CCM kama wanaona mtandao wa X unakukosoa au kukutukana eti ufungiwe watakuharibia kabisa.
Utaonekana kiongozi wa hovyo anayechukia Uhuru wa Habari.
Wanataka usifiwe tu Eti usikosolewe kwani wewe umekuwa Mungu?
Kumbuka walivyokuwa wakimsifia Magufuli na baada ya kuondoka Duniani wanamzodoa sasa hivi.
Rais Samia, wewe ni mwanadamu,una mazuri yako na mabaya yako.
Epuka machawa watakupeleka pabaya sana.
Kwa CCM jambo lolote ambalo halimsifii rais in matusi, uchochezi na vita
 
Huu mtandao wa X ufungwe tu. Watanzania Tumezidi umbea na uvivu. Hata JF ifungwe tu. Ifike wakati tuache uvivu na umbea twende tukafanye kazi. Uwezo wetu hupo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi hivyo vitatatu tunaweza na kutuinua kiuchumi.
Uwezo wako wa kufikri mdogo sana ,hujui kuwa watu wamejiajiri kupitia hiyo mitandao,pia sio muda wote unafanya uzalishaji kuna muda pia wa kupumzika
 
Niroge basi au uniue upunguze hasira ufurahi
 
Huu mtandao wa X ufungwe tu. Watanzania Tumezidi umbea na uvivu. Hata JF ifungwe tu. Ifike wakati tuache uvivu na umbea twende tukafanye kazi. Uwezo wetu hupo kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi hivyo vitatatu tunaweza na kutuinua kiuchumi.
Hao unaowatetea ndio walikuwa wanautumia kumtukana Magufuli!! Sasa wameguswa wao eti mnataka ufungiwe!!

Jaribuni tuwaone
 
Back
Top Bottom