Recent content by KAMILEEGO

  1. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    huyu ndugai amewaagiza polisi wa bunge wamkamate kiongozi wa kambi ya upinzani kwanini wanamkata mbunge wa chadema ambaye si kiongozi wa kambi hiyo na kumsulubu?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujulisheni yanayo jiri M4C Songea leo

    Makamanda Msikonde hizo up dates tutawaletea kuanzia saa tisa mchana, na Mkutano wa Hadhara utafanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Matarawe Mjini Songea.Kata ya Matarawe inaongozwa na Diwani kutoka Magamba hivyo leo anapelekewa Kiama kutoka M4C kama mnavyojua Kamanda Mbowe ndie atakae...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watua Songea

    Sawa sawa umekikumbuka Kijiwe cha Kitimoto zamani. CDM mbele kama Tai.
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM leo tunazindua rasmi Kampeni za Udiwani-Iyela

    Hivi bado Magamba mnaota kupata kata yoyote mbeya?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watua Songea

    Niko Songea Mjini Eneo la Lizaboni Gari limepita muda sio mrefu. Kata ya Lizaboni inaongozwa na Kamanda wa CDM Mh. Allanus Mwanja Murongo. Kazi inaenda vema Magamba tumbo Joto.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lema kutikisa Jimboni kwa Lowassa (Monduli) kwenye kampeni za udiwani

    Bado uko hapo kwa Wacheza bao nilikokuacha?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lema kutikisa Jimboni kwa Lowassa (Monduli) kwenye kampeni za udiwani

    Mbona unachangia kama uko msibani vp?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lema kutikisa Jimboni kwa Lowassa (Monduli) kwenye kampeni za udiwani

    Hebu hilo swali muulize Lukosi, Makamanda hatuwezi kujibu maswali yasiyo na manufaa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lema kutikisa Jimboni kwa Lowassa (Monduli) kwenye kampeni za udiwani

    Safi sana Leo una akili na umetambua kwamba Lowasa kashindwa kuwaletea maendeleo hayo. Then Magamba have to go.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Matokeo zaendelea!

    Una Uhakika?
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

    Nadhani hata VUTA NKUVUTE a.k.a Mzee TUPA TUPA wa Lumumba hilo kashaliona ebu mleta uzi muite huyu!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kufilisika kisiasa kwingine kunatisha!

    Huyu jamaa sijui akili yake ni asilimia ngapi kichwani?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Mtaishia hivo hivo mbona zito aliwakana, Masalia kazi mnayo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Acha kudakia hapo kasema mwenyewe kwamba kama kuna anaemuona hayuko timamu aseme.Ajira mpya za Lumumba zinakusumbua tulia kijana.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Hauko Timamu.
Back
Top Bottom