Hapo neno mentally limekaa mahali sio pake mkuu. Ni hasira au hukusoma parts of speech? Ulitaka kuweka noun ukaishia kuweka adverb. Tumuunge mkono Magu, hii lugha sio ya kwetu. Imekuja na meli.
Wote tumekisoma madarasani. Binafsi ni lugha ya 3 kujifunza. Hivyo kama kuna makosa kausha lengo ni ujumbe kufika boss. Maana hata uzi unasomeka kidhungu!
What do you mean by inclusive economy? That we don't have classes? We don't have the haves and have not like it is the case in neighbouring Kenya? Yes, you are sahihi. We are all completely impoverished! If at all that is what "inclusive economy" means.
I am your co-patriot. But nuh wan be fooled by the ghost hope you trying to publish man. As a country, our number one priority has been maintaining peace and tranquillity, and recently, discipline to govt leaders! Never been raising our people's standard of living!
Hahahaa! Kwani toka mwaka huo ulioutaja wewe umefukuza majasusi wangapi bwana ukiacha hao Jesuits? Ni lini umeskia majasusi wa mataifa mbalimbali au mashirika wakifukuzwa nchini mwako kwa sababu ni majasusi?Au unajidanganya hatuna majasusi hapa nchini? We jamaa una akili sana sio mbumbumbu kama...
Kwa akili ya kawaida tu au common sense japokuwa sio common to all, kati ya Waprotestant na Wakatoliki nani alitakiwa kufanya Ujasusi dhidi ya mwenzake? Nani alikuwa threat kwa mwenzake na hivyo kuhitaji kudhibitiwa? Nani alimuasi mwenzake na kujitenga na kisha kuanzisha propaganda dhidi yake...
Ungefafanua kwanza maana ya Ujasusi ili twende sawa. Maana inawezekana tunakwama sehemu ndogo sana. Hujui Ujasusi maana yake ni nini. Umewaskia ma Jesuits wakimlalamikia Yerico? Kuitwa Jasusi ni tuhuma? Yani wewe nikikuita kwa kazi yako mf.mwalimu, daktari n.k utanishtaki?
We jamaa akili haiko sawa! Ebu badilisha heading iwe kinyume chake! Kumbe Jesuit ilianzishwa kudhibiti Uprotenstant. Sasa ujasusi ni nini kama sio huo? Andiko lako ni zuri na kwa kweli nimelipenda. Ila linapingana na kichwa cha habari. Linadhibitisha pasi na shaka kabisa kwamba Jesuits ni majasusi.
Andiko lako badala ya kupinga maelezo ya Yerico; limeyaunga mkono! Meryknol na Jesuit wamekulea ila hutatuambia wamekulelea wapi?! Ndo Ujasusi huo!
Nafahamu yapo mashirika ya Watawa wasiovaa vilemba, achilia mbali misalaba! Sisters of Mary Immaculate ni mfano.
Nikushukuru kwa kutupa historia...
Mkuu nakupigia salute sana.
Hasa pale..... kwanza anahisi sio zake...........
Ni kazi nzito, kubwa sana kumwaminisha mtanzania wa kawaida kwamba fedha inayochotwa bank kuu au taasisi yoyote ya serikali kwamba ni zake/zinamhusu.
Hali ni hivyo kwenye chaguzi mbalimbali. Kura huwa ni "kumsaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.