Zmn tukiwa shule wkt Wa Debate kuna mada zinajitokeza
MF.Money is better than education au science is better than Arts subjects
Wapo wapingaji (opposer) wapo wanaosupport, kila kundi linahoja zake na kunawakati anaweza akajitokeza jamaa akawa NEUTRAL.
Lkn mwisho Wasiku wanashinda wale waliotoa...
Google tu kk zpo zaidi ya 1000 zipo za hosipitali zote kubwa afrika, india, ulaya, USA nk watu walisha acha matumizi ya cash labda tungekuwa tunachangia Pesa ya kula na nauli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanatuhamasisha kila siku watu kumiliki Bima ya Afya wao hawana inashangaza sana zipo baadhi ya bima unaweza kutibiwa sipitali yoyote kubwa Duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anaweza kuongoza nchi bila lawama ??yaani wananchi wote wakampenda sana, pale ikulu hata tungemuweka papa au sheikh MKUU lzma kunabaadhi ya watu wangelaamu tu. Raisi Wa nchi awezi kupatia kila kitu kama ujalizika na matendo yake subiri ktk uchaguzi ujao sio unasema aondoke tu ATAONDOKAJE...
Hivi akikutwa na hatia itakuwaje??
Msisahau adhabu ya Kuua in KUNYONGWA!!
Je Marehemu atakuwa anahudhuria mahakamani kusikiliza kesi yake??
NB
Mawakili mkamtetea marehemu asinyongwe!!!
Dunia inamambo hii !!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawajuwa wanasheria Wa ULAYA vzr??wanatoa HUKUMU HADI SHETANI MWENYEWE ANALUKALUKA KWA MSHANGAO na kujiuliza hivi nimeishiwa nguvu au mungu kazalisha version mpya ya Shetani??
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.