Kuna baadhi ya kazi hapa duniani, Mbinguni utapasikia tu

Siku hizi Watu mnajisahau kuwa nyie ni Binadamu, hamna mamlaka ya kuwa Msemaji wa Mbinguni wala kuhukumu ila sote tunasubiria hukumu. Poleni sana!
 
Siasa
Wanadanganya ili wapate kura wakati wanajua haya mambo hayawezekani kuna watu wapo madarakani wamesahau walichowaambia wananchi+ wanasiasa wa Jamaika lakini sio wa hapa kwetu kabisa sijawahi ona wanasema uongo akiamama

Uanasheria
Mtu anaua/amefanya dhambi kubwa halafu unamtetea ili ulipwe + Wanasheria wa Marekani lakini wa hapa kwetu Kweli kabisa wanatetea vizuri wanyonge

Polisi
Wakikuona kituoni wanaona dili limekuja haijalishi umepeleka mashitaka au umeshitakiwa lakini ni Polisi wa Ulaya wa hapa kwetu wapo vizuri sana wanasimama pamoja wananchi vizuri sana ila Polisi ya Ng`ambo Big no

Kuna kazi duniani ukifanye lazima uenda Mbinguni
i.Udaktari
ii.Uchungaji/Ushekhe
iii.Ualimu

Zipo baadhi ya kazi ni PROBABILITY unaweza kwenda Mbinguni au JEHANAMU
i.Wafanyabiashara
ii.Wakulima
iii.Madreva
iv.Jeshini nk

Mimi kama Mzazi ntamshauli Mwanangu awe Mchungaji tu!
Na yule aliekuwa anamteteavmalkia ndovu aliefungwa miaka 15 unamuweka kundi gani? Nae amelipw pesa za meno ya tembo, nae ni haramu.
 
Siasa
Wanadanganya ili wapate kura wakati wanajua haya mambo hayawezekani kuna watu wapo madarakani wamesahau walichowaambia wananchi+ wanasiasa wa Jamaika lakini sio wa hapa kwetu kabisa sijawahi ona wanasema uongo akiamama

Uanasheria
Mtu anaua/amefanya dhambi kubwa halafu unamtetea ili ulipwe + Wanasheria wa Marekani lakini wa hapa kwetu Kweli kabisa wanatetea vizuri wanyonge

Polisi
Wakikuona kituoni wanaona dili limekuja haijalishi umepeleka mashitaka au umeshitakiwa lakini ni Polisi wa Ulaya wa hapa kwetu wapo vizuri sana wanasimama pamoja wananchi vizuri sana ila Polisi ya Ng`ambo Big no

Kuna kazi duniani ukifanye lazima uenda Mbinguni
i.Udaktari
ii.Uchungaji/Ushekhe
iii.Ualimu

Zipo baadhi ya kazi ni PROBABILITY unaweza kwenda Mbinguni au JEHANAMU
i.Wafanyabiashara
ii.Wakulima
iii.Madreva
iv.Jeshini nk

Mimi kama Mzazi ntamshauli Mwanangu awe Mchungaji tu!
Wachungaji gani unawaongelea,Kakobe,mzee wa upako,Mwingira,Gwajima au wepi hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hata kuandika shida,alafu anahoji vitu ambavyo vinaendana ns uwezo wake wa kuandika
Mkuu kule Jamii intelligence kunawavuruga Sana watu.Labda angejiuliza swali fikirishi kuwa kwa nini Wanaintelligensia wetu walioko kule ni wabobeza katika kumchunguza Mungu na Biblia Takatifu kweli hii ndo Intelligence tunayoijua?.Lakini yote ni kheri maana Shetani Yuko kazini na yeye anaitumia teknolojia kwa nguvu.Mengine tukiyasoma humu tuyaache humu humu.Shukrani Mkuu kwa kumtambua huyo jamaa kuwa anahitaji Msaada maana andiko lake linaonyesha kuwa haya mambo kayaokota sehemu na hayajui vizuri.
 
Mbinguni wataenda wenye dhambi waliotubu na kuziacha.
Hao Waalim wanaolazimisha mtoto aende na mia na kumuuzia andazi pasipo ridhaa yake hawaendi
Hao Madaktari wachomoa mimba na kubambikizia dawa halafu wanakuelekeza dula la dawa la kwake Hawaendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhambi zote sawa...nafikiri hakuna mwanadamu mkamilifu..
Hatupaswi kuhukumu maana ata sisi huwenda mbingu tutaisikia tu

Au ata ao wanaseria huwezi kujua labda wanatubu kila baada ya tukio, na Mungu wetu ni wa huruma husamehe kadri tunavyotubu

Sent using Jamii Forums mobile app
hebu fikiria nafanya kosa kwa makusudi nikijua nitaomba radhi baadae na kusamehewa kisha najua baada ya kusamehewa nitafanya tena kosa kwa makusudi !! toba haipo hivyo dada.
 
Hata kuandika mtihani
Uhelewa-uelewa

Kweli halali yako kuhoji hivyo,inatakiwa uelimishwe kijana na ufunzwe kuandika.
Ina wezekana kabisa kuandika kwangu mtihani hii lugha sijaisomea..Tatizo lenu wafia dini za watu weupe amjielewi mnajiona nyie ni waarabu na wazungu ndio maana mnalumbana sana mnakashifiana sana lakini uwezi kukuta sisi wa Afrika wenye yetu ya kale na jadi tuna wakashifu..
 
Wewe pia ni mfia dini za mababu.

Au sio mfia dini za mababu?
Ina wezekana kabisa kuandika kwangu mtihani hii lugha sijaisomea..Tatizo lenu wafia dini za watu weupe amjielewi mnajiona nyie ni waarabu na wazungu ndio maana mnalumbana sana mnakashifiana sana lakini uwezi kukuta sisi wa Afrika wenye yetu ya kale na jadi tuna wakashifu..
 
Naheshimu mawazo ila fahamu kila fani/kitu kina pande mbili yaani upande hasi na chanya ni swala la mhusika kuchagua anataka kua upande gani.
Hao viongozi wa dini unaowaona ni watakatifu amini nakwambia viongozi wa dini ni wanafiki sana yaani walio wengi nowdays ni washirikina, majizi & wachumia tumbo hutumia dini kama kichaka.
Haijalishi wanafanya zambi kiasi gn lkn umewahi kufikilia kama wasingekuwepo tungekuwa tunaishi namna gani??? Yani kuua,kuiba nk sio zambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinguni wataenda wenye dhambi waliotubu na kuziacha.
Hao Waalim wanaolazimisha mtoto aende na mia na kumuuzia andazi pasipo ridhaa yake hawaendi
Hao Madaktari wachomoa mimba na kubambikizia dawa halafu wanakuelekeza dula la dawa la kwake Hawaendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh yani tunatofautiana sana ktk mitazamo ya mambo. Leo upo Huru kuandika unachotaka ni kazi ya walimu wako lkn mwl ambaye alikutuma ulete mia ya andazi alimaliza mia yako siku nyingi, Leo unawatizama watu Wa afya ktk mtizamo hasi lkn labda WK mbili zilizopita walikushauri umeze amoxiline tatizo lako LA UTI liishe. Tuwatie moyo wezetu wanajitoa kwa ajiri ya sisi na kizazi chetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuguzi/ Ukunga: unasaidia mama kujifungua kitoto kichanga, kinavuta pumzi yake ya kwanza unakiangalia, kinapanua mapafu yake kwa kuvuta hewa hii ya dunia iliyojaa uovu na wema na kisha kinalia ...unaiona furaha ya mama baada ya maumivu makali. Huwa nawaza hivi: kazi yangu imekamilika! haijalishi huyu mtoto atakuwa jambazi, padre, shekhe, nk
Japo Jiwe limegoma kujali maslahi yetu ila basi tu Mungu atatulipa
Watu Wa IDARA YA AFYA WOTE kwa ujumla wanafanya kazi ya KITUME mungu awabariki sana na awatie MOYO kuhusu jw msisahau kwamba anatoka kundi gn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhambi zote sawa...nafikiri hakuna mwanadamu mkamilifu..
Hatupaswi kuhukumu maana ata sisi huwenda mbingu tutaisikia tu

Au ata ao wanaseria huwezi kujua labda wanatubu kila baada ya tukio, na Mungu wetu ni wa huruma husamehe kadri tunavyotubu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawajuwa wanasheria Wa ULAYA vzr??wanatoa HUKUMU HADI SHETANI MWENYEWE ANALUKALUKA KWA MSHANGAO na kujiuliza hivi nimeishiwa nguvu au mungu kazalisha version mpya ya Shetani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha! Vipi kwa sisi vibaka kwa wadada wanaokataa kutoa mbunye
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom