Vijijini asilimia kubwa hawana elimu,pili hawana muda wa kufutilia mambo muhimu,sanasana wao wanachofuatilia ni mbolea na mbegu.Ndiyo maana mara nyingi hutishiwa kuwa mkichagua chama kingine kutakuwa na vita,au hudanganywa kwa kupewa vihela kidogo tu,t-shirt,kofia,kanga,pombe,nyama n.k na wao...