Recent content by Kambif

  1. Kambif

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

    Uko sahihi,ni vyema ukaanzisha mahusiano mapya kuliko kuyarudia maumivu
  2. Kambif

    JamiiForums Tanzania "Usijaribu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma 2019"

    Daah,wewe utakuwa mchawi tu,akili gani hii ya kimasikini?
  3. Kambif

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Amina Chifupa afunguka kuhusu mali alizoacha marehemu Mama yake

    Hongera kwa wote mliosimamia malezi ya huyu dogo aliyefiwa na wazazi wake wote angali bado mdogo mno asiyetambua kitu,Mungu atawalipa.
  4. Kambif

    JamiiForums Tanzania Simbachawene anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kujeruhi

    Ukiishi vingunguti lazima uwe mbabe,wagogo kila siku hupasuana na mapanga na visu,kwahyo kwa George hakuna jipya
  5. Kambif

    JamiiForums Tanzania Uwoya afunguka mazito kuhusu Marehemu Ndikumana na Dogo Janja

    Irene uwoya nadhani anaupenda mchezo huu kuliko ndoa yenyewe,au mashine kubwa nazo hupwaya kwake?
  6. Kambif

    JamiiForums Tanzania MO amenunua gari inayoaminika kuwa na mfumo mkubwa wa ulinzi wa kidigitali

    Congratulation kwa Mo,boss wetu Msimbazi,Simba imeitengeneza Christmas iwe nzuri bila bugudha yoyote,karibuni kesho tuile
  7. Kambif

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, askari waliochomwa visu na Mturuki kule Mikocheni ni ‘wapigaji’

    Kuua ni dhambi tena ni unyama,lakini kumuua jambazi ni thawabu
Back
Top Bottom