Recent content by kambi7

  1. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Mkuu Suzuki Swift old model number c mwishoni au d mwanzoni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Mkuu ndo maana nimesema kwenye kesi za kazi tu maana sheria zake ni tofauti
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Mkuu hata mahakama kuu division ya labour inahusika
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Huyo hata hajakaidi sheria na kanuni za kazi zinaruhusu kuandika hukumu kwa Kiswahili au kingereza mhe jaji kaonesha uthubutu nakuondoa mazoea
  5. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    5m sipati?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Milioni 6 naweza pata ractics namba D
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lini wataachia internet tupige mishe mitandao ya jamii?

    Wewe ulisikia wapi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni ruksa kwa Magari binafsi kupigwa label ya Jeshi?

    Kwani jeshi hawawezi miliki ist au subaru
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya mtu anayetoa Biashara bara kupeleka visiwani kama Unguja, Pemba na Mafia

    Ma ajenti wapo bandarini hapo wa unguja na pemba ukienda utawakuta au bagamoyo wapo kupitia majahazi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Makonda hauna tofauti na wa Samatta, watajuta sana

    Kama kura zinapigwa jamii forum au Twitter hatapita lakini kama kura wanapiga wajumbe atapita. So jiandae kisaikolojia
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge/Waziri ambaye yupo ila hata Mh hamkubali. Wananchi Badilikeni

    To be honest jamaa kaitendea haki wizara. Ni wivu tu
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na harusi za mchana

    Usiku daladala zinasumbua
Back
Top Bottom