Mzanzibar ananunua Sinza
Kwa hela ya Mtanganyika
Imani ya kwanza ya TANU
Ya kichwa kibovu kimoja cha Mwalimu
BINADAMU WOTE NI SAWA
NA AFRIKA NI MOJA
Inatutafuna mpaka kesho
Mwangalie vizuri ameshika sigara kali iko laced na cha Arusha.
Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kuingia mkataba kama ule. Zanzibar inaingia Nzega mara tatu! Ni ndogo kuliko wilaya zetu.
Pemba ni ndogo kuliko Mbagala Metropolis, kuanzia mpaka wa Kurasini bandarini, Kwa Azizi Ally Temeke...
Ndio, Muungano unanizuia kebeti na kulima tikiti kwa mafanikio.
Hela ya jasho langu kodi ya Tanganyika, BADALA YA KUTUPATIA FREE FARM SUBSIDIES ( MBOLEA BURE, MAJI BURE, DAWA ZA WADUDU BURE, MBEGU BURE, KODI ZA MAZAO BURE) kama ilivyo Japan, Russia, China, Ulaya na Marekani, hela ya...
Zanzibar wana Mzena na wenyewe !
Wameiita Mzena ili kila dawa na kifaa tiba kitakachopatikama Mzena Tanganyika kinunuliwe na cha Mzena Zanzibar. Ukiagiza MRI machine kwa hela ya Hazina Dodoma utaulizwa na Zanzibar je ?
Tanganyika inahudumia nchi mbili kwa hela inayolingana. Zanzibar ndogo...
Wanamalizaje kukutumia ????
Kimdoli kipo hapo unakitumia kuchinja na kutawala Watanganyika, kwa nn na chenyewe ukichinje ?????
Kina Makonda na Mafwele na ma OCD wote wanaojua maiti za kina Mdude na Soka na Saanane na Polepope ziko wapi na Aide de Camp wa Kikwete aliyepelekwa kuwa Military...
Okay, sawa
NCHIMBI, POLEEPOLE, waliwagundua sio viumbwa vyao na wanaleta utetezi wa Utanganyika kwa kiasi chao.
Ni kwa nn kina Katambi na Mwigulu na hata labda Mwaipopo unasema baadae watakuja kumalizwa kama bado ni vipanya na vimbwa vya Abduli na Wazanzibari ?????????
Watwana huwa wanaua...
Yani mmetoa taarifa ya New York Post mmebandika tafsiri ya uongo na upotoshaji ya Sammy Awadhi!
Post ya kwanza ya mada hii haikuwa YouTube post ya Sammy Awadhi. Rudiaheni posti ya awali. Hii ni potoshi!
Ndio ilivyo.
Mengi wanaiga watangulizi.
Hatuna visionaries wa kubadlisha mazoea.
Brigedier General Hashim Mbita aliandika "Ripoti ya Chande" over 20 years ago mauaji ya Zanzibar.
Nani aliamuru kusema ua hapo panya ??
Ripoti ya Mbita ilisema nini ? Hili la kuficha ripoti kaanza Samia...
Monkey See
Monkey Do
Pombe aliapishia watu Chato
Samia anaiga, na anasema why not me.
Kanali Jakaya alipotemea makohozi Katiba ya CCM alikiri akasema, watu woooote wamepata miaka 10, 10, why not Samia ??? Monkey See Monkey Do.
Hata Warioba aliposema haamini Nchimbi amepigwa telo huko aliko...
Logistically impossible
Hawana watumishi wa kutosha wala uthubutu wa kumsimamisha kila mzungu na mchina airport.
Wakisema wana target weusi-looking Tanganyikans peke yao tunaenda mahakamani kuitangazia dunia kwamba kuna kituko cha dunia huku njooni muone, kuna li nchi la weusi lina...
Playbook yao ni kwamba, post ya kwanza wanakurushia tusi. Ukijibu tu, unahama nao, wameshinda! Kwa saab wao lengo litopiki livurugike.
Samia regime imelipa milions of dollars to lobbyist kujaribu kupata hiki ambacho Mange anakifanikisha hapa, rallying for international support. This is...
Wala serikali tatu hatuzitaki
Wala Muungano wenyewe hatuutaki mazima
Majuzi interview ya Wariaba na Ulimwengu. Warioba akasema Wananchi bado wanataka Muungano. Ulimwengu akamuuliza hilo umelipata wapi hilo Mzee kwamba wananchi wanataka Muungano ??? Mzee akapanga kete
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.