Watanznaia tunapenda sana siasa kuliko chochote kile, sababu tuanpenda kuzungumza sana na uvivu, maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mwananchi mwenyewe, ujitume na uache uvivu, msitegemee kila kitu kitaletwa na serikali ili hali hamtaki kujishughulisha, hata ukienda bank kama NMB ambayo ndiyo...