Recent content by kambagasa

  1. kambagasa

    PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Hivi watu wajinga na machawa wanaouza utu wao kama wewe kwa nini msife ili tupate dunia yenye usawa dhabiti. Nimeamua kutumia lugha hii ili ikiwezekana niblokiwe kabisa jamii forum na takahamia tik tok
  2. kambagasa

    NASA imesema imechelewa sana kuzuia Mawe makubwa yatakayotua Duniani

    Kwa maisha ninayopitia bora tu liniangukie kichwani
  3. kambagasa

    Nini chanzo cha raia wengi wa Nigeria kuwa matapeli wa kimataifa waliokubuhu duniani?

    China wengi sana na sasa wanamiliki viwanda Watz hasa mademu kujiuza tu na vitako hivyo vya kibongo wanaona dili sababu wachina hawana tako
  4. kambagasa

    Tetesi: Wenje kujitoa Chadema kabla ya kufukuzwa

    Yaani atazirudisha hata kwa nyuma
  5. kambagasa

    Mambo ya kizingatia kama unataka kwenda China kwa safari ya kibiashara

    Mie nashauri tafuta Mtz mwezako kukaa na Mnaijeria China ni risk
  6. kambagasa

    Mambo ya kizingatia kama unataka kwenda China kwa safari ya kibiashara

    Mie nilienda na milioni 12 nje ya nauli. Manunuzi yote nilifanyia mji wa Guang Da.
  7. kambagasa

    Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

    Tembelea China naamini ukirudi hutahudhuria mkutano wowote wa Wanasiasa wa Tanzania. Wachina wakiamua kuanzia leo wasifanye maendeleo yoyote itatuchukua miaka 2000 (elfu mbili) kuwafikia
  8. kambagasa

    Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Post hii imenikumbusha machungu sana yaliyonipata katika maisha yangu
  9. kambagasa

    CHADEMA yamoga kung’atuka uchagani

    Atoe kote kote
  10. kambagasa

    Ukitaka kuoa usioe mwanamke mwembamba, oa mwanamke mwenye shepu na makalio makubwa

    Tangu nijue raha ya dunia wanawake wembamba hii dunia ni yenu
  11. kambagasa

    Jinsi nilivyonusurika kufa leo asubuhi

    Na tungemsukumia nyama wife wako kwa mambo ya kudanywa mtandaoni
  12. kambagasa

    Mpenzi wangu kaweka status WhatsApp ya kuachana na mtu ila si mimi

    Kausha tu madam zamu yako haijafikiwa
  13. kambagasa

    LGE2024 Kinondoni: Waandikishaji wapiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kuandikisha kabla ya muda wala uwepo wa mawakala

    Waandikishaji endeleeni na kazi hao wapuuzi kwanza hawajajipanga kushinda uchaguzi hata huyo anayebwabwaja domo soon utamuona CCM ashanunuliwa kama alivyo Msigwa
  14. kambagasa

    Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

    Kaka no 2 umeniogopesha sana. Almost 95% ya nguo za Mwenge zinatoka Kariakoo na kuuzwa mara mbili ya bei ya Kariakoo
Back
Top Bottom