Recent content by Kamavinga

  1. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Tumia Nywila (Password) kuzima simu yako

    Bwana mwizi akaikwapua cm yangu, chap akawah pale k/koo kwa wale wenye masters za kuflash...si atakua amefanikiwa kubreach security level zote mkuu. Au unijuze kama kuflash kuna process ya kuverify owner
  2. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Mkuu, kama hutojali nielekeze hiyo combination ya mafuta ya taa, sabuni na chumvi inatengenezwaje na inatumiaje
  3. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

    Duh!
  4. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

    Naunga mkono hoja
  5. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Simu ya mkopo; kalipa deni lote lakini bado inafungwa!

    Chukua vielelezo/mkataba wa kununua. Kielelezo cha malipo ya awali/kianzio Vielelezo vya malipo yote(uloyokua unafanya kila wiki) Ukishaanda hilo furushi la documents, watimbie ofisini kwao. Wakizingua na hapo, rudi hapa tukawanyooshe..hawatakua na tofauti na matapeli wa mtandao
  6. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Msaada: Changamoto ya kushindwa kubana mkojo

    Nakunukuu: ''sasa wengi wanasema kwa kuwa nimetumia catheter Mara 4 huwa zina tabia ya kulegeza mishipa ila sina uhakika na hilo'' Usiwasikilize hao ''wengi wanasema '', Nenda hospital upate msaada immediately
  7. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania 21th century generation

    wewe ni wa 20th century?
  8. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    si zinatolewa kwa dili
  9. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Utashangaa hiyo inakabidhiwa hivyo hovyo... na mheshimiwa ataalikwa kuifungua
  10. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Acha kutetea nonsense. Ni barabara ngapi hapa mjini zina traffic lights, lakini tunakuta askari ndo wanaongoza magari? nini kigumu kwa askari kwenda kuongoza magari kwenye njia hii mpya? Mnahitaji miaka mingapi ili muweke hizo Taa na alama za barabarani?
  11. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Watu wenye fikra kama zako ni TATIZO
  12. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Hii nchi bana, mambo ya hovyo kila siku
  13. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Gz ya Tz ipo busy kubet
  14. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Tunafanyeje ili tumzibue masikio chura?
Back
Top Bottom