Kuanzia mwanzo mkuu, yaani nashindwa kabisa Ku concentrate.Umeshindwa sehemu gan boss
Umetumia Kiswahili cha ndani mnoo,nimekupa maua yako.Uyanuse ukiwa hai.Je akiweka kindege mkuu huyo bwana mwivi?
Tunaipatia kwa wapi hiiExpert upo sahihi kabisa,unajua kwenye simu kuna mambo mengi ila huwa hatuyafuatilii,kwa mfano kuna maintanance mode hii itakusaidia simu ikiwa kwa fundi iwe salama,kwa maana fundi hawezi kupekua data zako muhimu,baadhi ya data hazionekani ukiweka maintanance mode on,mpaka uweke off ndio simu inarudi katika hali yake ya kawaida
Kifupi kuna tuvitu vitu vingi ila hatuvifuatilii
Nenda kwenye settings,itategemeana na aina ya simu,mfano samsung utaikuta kwenye Device careTunaipatia kwa wapi hii
Akitoa line hio kitu inakuwa Haina maana𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗦𝗪𝗢𝗥𝗗 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗠𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗞𝗢
Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aweke password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana.
View attachment 3196781
Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu lazima haweke password ndo simu izime.
Feature hii ni nzuri sana endapo simu itaibiwa au kupotea haiwezekana kuzimwa mpaka mtu aweze kutoa lock ya simu Unachotakiwa kufanya yafuatayo;
⚡ Ingia setting ⚙️ kwenye simu yako
⚡kisha ingia kwenye security and privacy au security & biometric
⚡ Kisha tafuta "required password to turn off" weka on hii feature.
Ukikosa hii tafuta kupitia setting ya simu yako andika hivi
- lock screen to power down
- Power Down confirmation
- passcode to shut down , ni feature ambazo utazitafuta kupitia setting ya simu yako ili kuweza kuzuia mtu asiweze kuzima simu yako mpaka password 🔑, pin au pattern.
Simu inazimwa vizuri kabisa na password yakoHii nzuri
Asante Kwa elimu
Simu za sikuhizi nyingi uwezi chomoa betri,labda uipasue pasue simu kwanza ndo utoe betri na hiyo itakuwa hasara kwake.Wanachomoaga betiri! Lazima itazima tu.
Na ni ngumu watu wote kufuatilia vitu vyote,!!, Vinginevyo uwe intrested na kitu fulani kwa ajili ya kazi yako au labda uwe ni fundi,,uwe mtundu sana.kuna watu walinunua smartphone kwa ajili ya kupiga picha,kupiga na kutuma msgs baasi kamaliza,wala hataki kujua kama kuna mambo mengine ya ziada na mhimu katika simu yake!! 😀😀😂Expert upo sahihi kabisa,unajua kwenye simu kuna mambo mengi ila huwa hatuyafuatilii,kwa mfano kuna maintanance mode hii itakusaidia simu ikiwa kwa fundi iwe salama,kwa maana fundi hawezi kupekua data zako muhimu,baadhi ya data hazionekani ukiweka maintanance mode on,mpaka uweke off ndio simu inarudi katika hali yake ya kawaida
Kifupi kuna tuvitu vitu vingi ila hatuvifuatilii