Mna kazi sana mwaka huu. Yaani kwa uchafu wote unaojianika bado mna uthubutu wa kutamka neno MAADILI? Maadili yapi hayo? Ya kuitana Dubai kwa shughuli maalum? Ya kukopeshana milioni 80 kwa kulipa deni la Katibu ama zile Milioni 40 aka 36 za fenicha ya Rais mtarajiwa ama zile milioni 20 za Mama...
1. Una uhakika kuwa hili la EAC amemkana Membe au walikubaliana Membe aseme asiyopaswa kusema Rais kutuma ujumbe halafu yeye aje kuongea ki-Rais kwa busara nyingi huku akijua ujumbe umefika kwa wahusika
2. Kwani hao maadui 11 ni maadui wa Membe au Maadui wa Watanzania kutokana na kuwaibia...
Katika Hali isiyokuwa imetarajiwa mdogo wake Zitto amefanikiwa kuokoa Mkutano wa Dr Slaa kushinwa kufanyika mjini kigoma.
Wanafamilia na ndugu wa karibu wa Zitto wakiongozwa na mdogo wake aitwae Bayona walifanikiwa kupunguza munkari wa Wana CHADEMA waliokuwa na hasira ambao waliokuwa...
Slaa atolewa kafara na wenye chama!
Uamuzi wa kumtumia Dr Slaa kwenda kumwaga sumu dhidi ya Zitto katika maeneo ambayo wanaamini ana wafuasi wengi na kujikuta akihutubia mikutano ya watu wachache na upinzani mkali uliomlazimu kuomba msaada wa polisi ni sehemu ya mpango wa muda mrefu wa...
Huyu Mzee haachi vituko. Na ile ndoto yake ya kulala ikulu ingeendaje na mpango huo maana hilo lisingeweza kuhakikisha mkwewe anachukua urais 2015! Ama ndio ilikuwa backup plan baada ya kugundua kuwa ndoa ya binti yake imebuma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.