Slaa atolewa kafara na wenye chama!

Dec 6, 2013
10
0
Slaa atolewa kafara na wenye chama!

Uamuzi wa kumtumia Dr Slaa kwenda kumwaga sumu dhidi ya Zitto katika maeneo ambayo wanaamini ana wafuasi wengi na kujikuta akihutubia mikutano ya watu wachache na upinzani mkali uliomlazimu kuomba msaada wa polisi ni sehemu ya mpango wa muda mrefu wa kuhakikisha kuwa hana nafasi ya kugombea urais mwaka 2015 na nafasi hiyo kuchukuliwa na Freeman Mbowe. Hii inaendana na mkakati maalum wa mmoja wa wawania ugombea wa CCM kutaka kuhakikisha kuwa hapati ushindani wa Dr Slaa ambaye anaonekana kuweza kuleta athari zaidi ya Freeman mbowe ambaye anaonekana kuwa hana nafasi yoyote ya kuaminiwa na Watanzania. Katika mkakati huu pia yumo mwenza wake Mama Josephine ambaye amekuwa mstari wa mbele kumlazimisha Dr Slaa kukubaliana na jukumu la kwenda mikoani kumwaga sumu dhidi ya Zitto ambaye anaonekana kama tatizo lingine ndani ya mkakati huo wa mgombea wa CCM. Hatua ya nguvu za Mama josephine kutumika kumlazimisha Dr Slaa na hata kumlazimisha aendelee na ziara hiyo baada ya kutokea mambo ya kumuaibisha na kumshusha hadhi yake imeanza kuzua maneno kuwa yawezekana Josephine ni sehemu ya mpango wa muda mrefu wa mgombea huyo wa CCM ambaye alikuwa na mahusiano naye hapo kabla na hata sasa.
 
Deshmo

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
4,776
2,000
Kama umetusua,yaani brrrrrrrrrrrrr au tsuiiiiiiiiiiiiiiiii,na shuzi linanuka ilo kama umekula mzoga!!!!!
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,728
2,000
Slaa atolewa kafara na wenye chama!

Uamuzi wa kumtumia Dr Slaa kwenda kumwaga sumu dhidi ya Zitto katika maeneo ambayo wanaamini ana wafuasi wengi na kujikuta akihutubia mikutano ya watu wachache na upinzani mkali uliomlazimu kuomba msaada wa polisi ni sehemu ya mpango wa muda mrefu wa kuhakikisha kuwa hana nafasi ya kugombea urais mwaka 2015 na nafasi hiyo kuchukuliwa na Freeman Mbowe. Hii inaendana na mkakati maalum wa mmoja wa wawania ugombea wa CCM kutaka kuhakikisha kuwa hapati ushindani wa Dr Slaa ambaye anaonekana kuweza kuleta athari zaidi ya Freeman mbowe ambaye anaonekana kuwa hana nafasi yoyote ya kuaminiwa na Watanzania. Katika mkakati huu pia yumo mwenza wake Mama Josephine ambaye amekuwa mstari wa mbele kumlazimisha Dr Slaa kukubaliana na jukumu la kwenda mikoani kumwaga sumu dhidi ya Zitto ambaye anaonekana kama tatizo lingine ndani ya mkakati huo wa mgombea wa CCM. Hatua ya nguvu za Mama josephine kutumika kumlazimisha Dr Slaa na hata kumlazimisha aendelee na ziara hiyo baada ya kutokea mambo ya kumuaibisha na kumshusha hadhi yake imeanza kuzua maneno kuwa yawezekana Josephine ni sehemu ya mpango wa muda mrefu wa mgombea huyo wa CCM ambaye alikuwa na mahusiano naye hapo kabla na hata sasa.

Ukiambiwa Unakiherehere utakataa?
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,938
2,000
Hii ni hatari kweli tuhuma zingine nzito kweli lakini ubishi wa mzee slaa ndiyo uliomponza.
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,225
Abnormal mind!!!!! What do you say about this?

wauwau

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
705
170
Jose analiwa na anayetaka urais mwingine. Ahhaaaaaaaaaaa Josephine unataka kuwa 1st lady in double kama Gracia
 
chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,705
1,500
Slaa alipora mke wa mtu na sasa kibao kimemgeukia, Kweli muosha huoshwa.

Dr Slaa vumilia tu, kuchapiwa ni siri ya ndani.
 
mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,166
2,000
Ziara ile ilipangwa muda mrefu kabla ya tatizo la Zitto. Lakini Ziara hii pia imefanikiwa sana. Kama basi ingelikuwa kafara ungelisema kuwa kajitolea kuwa kafara kuliko kusema eti wenye chama wamemtoa Kafara. Wenye chama cha chadema ni Watanzania wengi sana kwa sasa ambao wana mapenzi mema na nchi yao!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom